Recent content by sbilingi

  1. sbilingi

    Matokeo ya sensa: Tanzania ina watu 44,929,002!

    ninachofahamu ratiba ziligawiwa na ziliwekwa kwenye kila kiti sasa kama ulisimama na ulikuja bila kualikwa ndio madhara ya kukaa uswahili kusubiri ubwabwa wa maulidi usiyoalikwa... sikuhitaji kuwa mc ili kupata ratiba....
  2. sbilingi

    Matokeo ya sensa: Tanzania ina watu 44,929,002!

    subiri kuna kitu wanatarajia kukifanya mwezi huu nadhani wanaita post enumeration survey ni kwa ajili ya kutathmini vitu kama hivyo, then una fanya marekebisho kidogo. kwani hamkusikia hotuba nyinyi, au ndo mnasubiri notes ili mkatoe photocopy ilihali darasani hamkuhudhuria....
  3. sbilingi

    Matokeo ya sensa: Tanzania ina watu 44,929,002!

    nimebaini jf walio wengi ni vihiyo, wanacomment kwa ushabiki na si kwa data, nilidhani mnayoyasema yote ni ukweli kumbe leo nimefahamu.... yaani mtu hajui hata umuhimu wa sensa, nendeni tnbs mkaelekezwe basi... kwa maelezo machache niliyomsikia rais akisema, takwimu zile za jumla anazozitoa leo...
  4. sbilingi

    Matokeo ya sensa: Tanzania ina watu 44,929,002!

    kaka naona hukuwa na ratiba ya shughuli hiyo na hii inatokana na kuvamia shughuli za watu, si kweli kwamba shughuli ilitakiwa kuanza saa mbili kama ulivyotangaza. rais alifika saa 4 na dadika 17 kwa hiyo alikawia (na si kuchelewa) dakika 12. muda mwingine tuwe tunaongea ukweli wa mambo...
  5. sbilingi

    Wana jamvi namleta kwenu kamanda Esther Wasira; naomba tumpe ushirikiano

    naye ni chakula cha nani? mbondefu au dkta siraha
  6. sbilingi

    CHADEMA imekiri kufadhiliwa kutoka nje ya nchi katika shughuli zake za kujijengea uwezo

    fungua macho wewe, hivi sabodo unaweza kumfananisha na chama chenye uwezo na malengo ya kidini kama hicho, sabodo ni mtanzania akiiuza tanzania naye atakaa wapi... nyinyi mna malengo ya kidini si mseme wazi tuuuuu
  7. sbilingi

    CHADEMA imekiri kufadhiliwa kutoka nje ya nchi katika shughuli zake za kujijengea uwezo

    wehu wengine bwana: me nawashangaa sana wehu kama nyinyi, hv unaweza kutofautisha nini hapo. kama unasema huli nguruwe lakini mchuzi wake unakunywa maana yake nini.... kazi mnayo na udini wenu huo
  8. sbilingi

    Bus Rapid Transit in Dar

    Angalio hiyo utajua namna tutakavyovuka barabara, na wala sisi si wa kwanza, walianza hawa hapa chini
  9. sbilingi

    Upotoshaji Wikipedia Juu ya Nyerere?

    kama uli angekuwa ametembea na mke wako ungempa adhabu gani inayomfaa... au hulioni hili. tafakari hadi mwisho wa upeo wako alafu ndo utoe hoja....
  10. sbilingi

    Upotoshaji Wikipedia Juu ya Nyerere?

    sidhani kama nahitaji hata kuwa great "sinker" so long as naweza jua baya na jema
  11. sbilingi

    Upotoshaji Wikipedia Juu ya Nyerere?

    kwani yeye alikuwa Mungu hadi unamkingia kifua? mbona hata kauwa watu wengi tu? na kwa taarifa yako, kiuhalisia CCM haikuanzishwa na yeye ila alikuwa mmoja wapo wa wengi waliofanya uanzilishi huo. Kinachonishangaza ni kazi mnayoipata kumhusisha Kikwete na upuuzi wa Nyerere baba yenu.
  12. sbilingi

    Hongera Simon Tyosela Diwani wa Urugu kwa kuhamia CCM

    Aisee wewe ni mwehu kwelikweli, ina maana hiyo elfu 10000 ndiyo inayomfanya aache mamilioni ya fedha kwa muda ambao angetumikia kama diwani? au wewe ndo wale wanaouza ng'ombe kwa kesi ya kuku? JF kweli kuna majuha, me naona tungeondoa hiyo kauli mbiu sijui niiteje, ya home of Great thinkers...
  13. sbilingi

    Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

    wewe mwehu, alichokisema thinktwice ni kitu ambacho hakihusiani na hicho unachikisema. sijui tafsiri yako ya udini iko vp? Hili ni suala la msingi ndo maana wakristo wengi walidemand uchaguzi kutofanyika siku ya j2. na ukiangalia ni kweli, ni haki ya msingi ya kila mwanajamii. thinktwice ametoa...
  14. sbilingi

    Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

    kumbe humu jf majuha wengi kwelikweli. sasa suala la adhana na ibada za asubuhi limeingia vipi hapa. wewe ni juhaa uliyekubuhu, kudadadeki wee!!!!!!!!!!!
  15. sbilingi

    Dawa za Vikombe ni Udhoofu wa Serikali ya CCM

    Nadhani ndugu yangu usingelileta hili humu jf. Nina maana kwamba, Serikali iliposema subirini kwanza kwa babu ili uchunguzi ufanywe wana jf hao unaowalalamikia walikuwa mstari wa mbele kulalama na akina slaa walishaichukuwa kama ajenda ya mikutano yao.. Yakujitakia hayaumi kaka/dada. Ushauri...
Back
Top Bottom