Recent content by sawabho

  1. S

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Hongera sana, ni ubunifu mzuri. Kama huna ofisi rasmi kwa maana ya chumba, nakushauri uanzishe ili urasmishe hiyo kazi. Trust me, utafika mbali. Historia inaonesha kuwa hata Kampuni ya DHL ilianza vivyo hivyo kama wewe.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ajivua uongozi: Ni utu, ujasiri au kujipanga upya?

    Haina tofauti na Lyatonga Mrema enzi hizo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Shule ya wasichana ya Huruma iliyopo Dodoma yazuia wanafunzi kurudi likizo

    Si baada ya wewe kupeleka umbea wako ? Maana hujaeweleka hoja yako hasa ilikuwa ni ni baina ya usagaji na kubaki shule. Hapo hakuna lingine, bali ni wivu wa 50,000/= tu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Shule ya wasichana ya Huruma iliyopo Dodoma yazuia wanafunzi kurudi likizo

    Wewe tafuta kazi sehemu nyingine, sio lazima ufanye kazi hapo Huruma Sec. Wamekufukuza baada ya kuona unatamani watoto, sasa unakuja kulalamika huku JF, haukuan msaada wowote hapa. Ina maana huo usagaji upo kwa form 4 tu ? Mbona form 1 had 3 wameenda likizo, ina maana hawataoa taarifa ? Aidha...
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Afisa wa Uchaguzi aliyetoweka akutwa amefariki

    Kwa maana nyingine ni kwamba matokeo yaliyotangazwa yalithibitishwa na mtu mmoja maana wanne walisusia, mmoja alikuwa mateka na mwningine Mwenyekiti
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Waziri Liberata Mulamula! Au Ameparura Mahali?

    Kwa hawa wanampokea au wanamsalimia ? Kumbuka kuna tofauti baina ya kupokea za kusalimia.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia akienda nje ya nchi hapokelewi na viongozi wenzake wa juu?

    Ndugu, hao sio kwamba wanampokea bali anatambulishwa kwao. Kama inavyoonekana, Mhe. Rais tayari keshapokelewa, kinachoendelea hapo ni utambulisho kwa viongozi mbali mbali waliojitokeza katika mapokezi hayo.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwenge wabaini ufisadi wa TZS 65B kwenye miradi 49 ya halmashauri 38 Je, nini kitaendelea?

    Kwa hiyo CAG, TAKUKURU na TISS wafutwe, kubaki na mwenge tu. Huyo Kiongozi wa mbio za mwenge anapata wapi taarifa za matumizi mabaya ya fedha ?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya boda boda

    Mbona hiyo 1,400,000/= bado haijatosha ya kupata bodaboda kwa sababu kwa sasa Boxer/TVS ni 2,700,000/= +, kama ni hizi za Kichina ni 1,700,000/= +
  10. S

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Chumba kimoja tu 130,000/= !!!!??
  11. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namna ya kudhibiti uwepo wa vituo hewa/bubu vya kupigia kura katika uchaguzi mkuu - 2020

    Sasa naan Sasa naanza kuelewa ni kwa nini walikuwa hawataki kutoa nakala za matokeo kwa mawakala
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jinsi ya kuweka vema✅ kuchagua Rais wa Tanzania

    Mbona hata hao wenye sera, wanaishia kuweka ahadi ya kutekeleza mambo ya wenzao.
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jinsi ya kuweka vema✅ kuchagua Rais wa Tanzania

    Kitendo chako cha kuondoa baadhi ya vyama, kinaonesha kuwa huna nia nzuri na Taifa. Hata baada ya kupata uongozi, mtandelea kuwa wabaguzi. Ni kwa nini hajaacha vyama vyote ili wapiga kura waamue wenyewe ? Hii in amaana uko tayari kua hicho Chama.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Zingatia wazungu wanaposema life begins at 40

    Mambo mengine ni kutishana tu, yaani kwa elimu ya kobongobongo at 40s ndo unaanza kupata kipato halafu uanze kujifungia, maisha unaanza kuyala lini sasa ?
Back
Top Bottom