Recent content by savo

  1. savo

    JamiiForums Tanzania Nampenda lakini ananiweka kwenye u ‘friend zone’

    Wewe nawe ni wa 2000 kumbe lighter mind kaza fuvu *****
  2. savo

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni Kurudisha Nywele Zilizopotea!

    Chumvi ya bahati ndo ikoje mkuu
  3. savo

    JamiiForums Tanzania Lissu akubali yaishe Afunga Ushahidi tarehe 23 Majumuisho ya mwisho Final Submission

    🗣️Haya yote yatapita ila neno la bwana wa majeshi halitapita hivihivi …. Tungeni sheria zenu nazo zitapita ila biblia kitabu kitakatifu hakiji badirisha ukurasa #udongo utatufyonza wote ni suala la wakati tu kwa kila mmoja
  4. savo

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Godbless: Napingana na wengi, siungi mkono mashambulizi dhidi yake

    watu walikuja kujua kuwa zito ni dalali wa siasa Kama mbowe na yupo kwenye mfumo kitamboo time ishaenda sana so jua kuwa wote wanachumia tumbo tu 🗣️
  5. savo

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Godbless: Napingana na wengi, siungi mkono mashambulizi dhidi yake

    Lema ni mfumo toka kitambo sema watu wanakaza fuvu tu ipo siku mtaelewa tu ngoja tuendelee na drama zake✔️
  6. savo

    JamiiForums Tanzania Issue ya kajala ndo imedhihirisha kuwa umaarufu sio kigezo cha maisha mazuri

    Hakika muda Mali sana aisee ona kajala Ana ulikuwa muda… tulishasema fainali uzeeni ujui nani atakufaa
  7. savo

    JamiiForums Tanzania Mjusi katika tafsiri ya kiroho na ulimwengu wa giza

    Ni uchawi hawa mijusi
  8. savo

    JamiiForums Tanzania Mchumba anahitajika kwa ajili ya ndoa ndani ya mwaka mmoja.

    Bikra ya mchina ipo ila siku hizi bikra za mbele na nyuma zishaishaaa….😃😃
  9. savo

    JamiiForums Tanzania Mti uliotoa machozi Dumila

    Tumalizie mwamba nishandaaa 🍿
  10. savo

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuendelea kuishi na mwanamke wa namna hii ?

    Hivi kwel kuna dawa ya kukuza na kunenepesha mtarimbo? Binafsi sijawahi amaninigi wenye ushuhuda kwa hili wanajamvi
  11. savo

    JamiiForums Tanzania Kwanini upo single?

    Mie juzi tu mtoto kaja kusimama mvua kwa shop, Eeh bana si kimasihara nikaomba namba kakatoa haka kafesti yea😀😀 basi sikutaka kuzunguka baada ya stor mbili tatu nkasema naomba niulipie muda wako kakajibu fresh! Ila nomba nilipie 35000 ya bima, nilipie na kiatu pale dukani nilipokukuta coz...
  12. savo

    JamiiForums Tanzania Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

    Ngoja tuagize kwa watu wenye roho nzuri sasa
  13. savo

    JamiiForums Tanzania Kama wewe bado ni fukara wa kipato cha chini ya Tsh 28m kwa mwaka soma hapa

    Hakika kibao hiki kilitamba sana Mia law ya 80’s maisha ya utajiri ni kazi yake rabana 🙏
  14. savo

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Enoch kinawataja malaika 200 walioasi ambao ndio waliiba Siri na teknolojia za mbinguni kisha wakamfundisha Binadamu

    wakuu! Mwenye kitabu cha Enoch naomba anipatie nikisome ..natanguliza shukrani
Back
Top Bottom