Akizungumza katika kipindi cha asubuhi na Mwangaza fm, amesema Tanzania kumekuwa na mufululizo wa mambo mengi ambapo yasipoangaliwa taifa hili litabaki kuwa historia.
Amesema uzalendo umekuwa mdogo na kumekuwa na demokrasia iliyovuka mipaka. Amesema kunahaja vyombo vinavyohusika kuweka...
Viongozi wa CHADEMA ambao walituma vikosi vya Kumsaidia Odinga wameumbuliwa na Matokeo ya Uhuru kuibuka Kidedea.
Walionyesha wazi kumuunga Odinga huku wakimponda swaiba wa Odinga Magufuri kuwa alitumwa na CCM.
Kwenye mitandao waliandika Matokeo ya kenya ndiyo refrection ya 2015. Yetu macho...
Katika hali inayoonyesha bado Mwenyekiti wa UVCCM anakazi ni pale ambapo baadhi ya mikoa haimtambui, ukiwepo Mkoa wa Mbeya.
Wamesema kauli ya Dodoma na ya Morogoro juzi inazidi kuwachefua. Wamesema amedanganya umri, hana uwezo na amebebwa. Hivyo wameomba ajiudhuru na zanzibar watoe mwenyekiti...
Ndugu wanabodi.
Juzi kijana huyu mjumbe wa UVCCM TAIFA NA KATIBU WA CCM UDOM, Alitoa kauli ya kumwita Heche ni Mnafki na msaliti alipokuwa akizungumza na Redio Mwangaza fm.
Alisema kitendo cha Heche kushinikiza Kawabwa kujiuzuru na la sivyo kuitisha Maandamano ya wanafunzi waliofeli ni...
Wanabodi
Katika kuonyesha CCM Hawakotiyari kwa Kawambwa Kujiudhuru kama anavyoshinikizwa, mda huu Mjumbe wa UVCCM TAIFA NA KATIBU WA CCM YUPO RADIO Mwangaza.
Anasema kitendo cha Heche kutaka Kawambwa ajiuzuru ni unafiki na fedhuri. Amesema suluhu ya Matatizo ya Elimu Tanzania siyo...
Katika kuonyesha kwamba Magamba wanajichanganya, mda huu Bwana Elius Ndabila anahojiwa na Radio ushindi Mbeya.
Pamoja na kuhojiwa Mambo Mbalimbali, ameulizwa kama yeye anahusika na harakati za Kumng'oa Mbunge wa CCM Ileje kama ilivyoripotiwa wiki iliyopita kuwa Yeye na Naibu waziri wa Fedha...
Natafta mke wa kuoa.
SIFA
.Mweupe
.Urefu kuanzia ft 5-6
.Asiwe mnene sana
.Mkristo
.Elimu kuanzia kidato cha 6
.Awe wa Mbeya au Iringa.
MIMI ELIMU YANGU NI SHAHADA YA KWANZA YA UWALIMU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.