Recent content by sauverleau

  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Kwa hiyo Rais hawezi kutangazwa kesho wala kuapishwa tarehe 5
  2. S

    JamiiForums Tanzania Fastjet wamewafuma Watanzania

    Utamaduni wa kusafiri ni tofauti sana na vile wengi tunavofikiria. Sio TCAA au sjui TAA ambayo ina-control ivo vitu. Kufanya booking ya ndege na wale wanaouza tiketi za ndege ni kama vile kufanya gambling. Wenye ndege daima wanataka kupata faida hata kama wanasema ni budget airline (low-cost)...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kususa kwa Dk. Slaa: Mtumbwi wa kisiasa wa CHADEMA unazama?

    Ng'wamapalala, Nakubaliana nawe kwa kiasi kikubwa tu. Nimekuwa najiuliza watanzania ni watu wa aina gani. Tukianzia na Dr. Slaa, nadhani watu wengi humu tumekuwa tunamkubali kwa asilimia za kutosha ktk swala zima la ufisadi. Hadi CCM wanaenda kupitisha mgombea kulikuwa na msuguano mkali sana...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Matumizi sahihi ya maneno skip na spare

    Skip=ruka, Spare=hifadhi, tunza, (kwa matumizi ya baadaye) Lkn inategemeana sana na muktadha neno lilipotumika!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kuteuliwa kwa John Magufuli ni pigo kubwa kwa upinzani!

    Ndugu Masonjo, Hii iwe ni kati ya hoja za msingi za upinzani. Sijapata kujua nini kipo kwenye Ilani ya CCM lkn najua wazi hili la katiba watakuwa wameliweka pia.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi MKuu na Kiporo cha Mchakato wa Katiba

    Ndugu watanzania wenzangu, Kwa historia, Tanzania yetu imezoea kwenda kwa MATUKIO na kila tukio jipya hulifunika la nyuma yake na mwisho viongozi wetu wamekuwa wakitumia hiyo kama "loophole" kufanikisha mambo mbalimbali kwa faida hasa ya CHAMA na WACHACHE. Tangu CCM impitishe ndugu Magufuli...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kuteuliwa kwa John Magufuli ni pigo kubwa kwa upinzani!

    Achilia mbali uwajibikaji, hoja ya msingi ambayo UKAWA inabidi waitumie ni kiporo cha katiba. Whether Magufuli ni mwajibikaji au sio mwajibikaji, litakapokuja swala la katiba mpya sidhani kama atauficha uCCM wake. Lazima tutarudi kule kule kupokonywa katiba yetu wananchi tuliyoipendekeza, na wao...
Back
Top Bottom