Inaonekana tatizo lililopo ni wateule wengi wa sasa kukosa maadili ya utumishi wa umma kwa sababu hawajapitia ngazi mbalimbali za utumishi wa umma. Wengi wametolewa kwenye harakati za siasa zilizojaa lugha chafu na dhihaka na wakapewa nafasi kubwa za utumishi wa umma bila kupewa mafunzo ya maadili.
Nasikitika sana kuwa mambo ya udini na ukabila yanapaliliwa sana na watu walioenda shule. Kama hali hii haitadhibitiwa itakuwa janga la Taifa huko mbeleni. Tulieenda shule tuwe mstari wa mbele kupinga mbegu zozote za ubaguzi katika ajira. Watu wapewe kazi kutokana na sifa na uwezo na si kwa...
Hakuna justification ya kutosha ya kumrudisha Maswi TRA baada ya kashfa ya ESCROW. Hii ni mbinu ya Serikari kuaminisha umma kuwa ESCROW scandal haina madhara kwa Taifa. Maswi alilazimika kuwajibika kama mtendaji mkuu alipaswa kuzuia kashfa hii isitokee. Pia huwezi kusema hajahusika na ufisadi...
Miaka ya nyuma shule za serikali zilikuwa na viwango vizuri vya utoaji elimu na wazazi hawakuhangaika kupeleka watoto wao shule za private isipokuwa wale walioshindwa kuchaguliwa kwenye shule za private.
Hali ilianza kubadilika zilipoanza shule za mission. Mwanzo wazazi walipendelea kupeleka...
Nawe usipokee rushwa. Kwani hiyo rushwa hupofusha macho yao waonao na kuyapotoa maneno ya mwenye haki (Kutoka 23:8).
Wakati huu wa kuelekea uchaguzi mkuu tumeendelea kushuhudia mambo yenye kuleta mashaka. Kubwa ni kubadilika kwa Dr. Slaa kuegemea upande wa CCM na kwanza kubomoa yale aliokuwa...
Lowasa anafanya utapeli tu. Kwake Ikulu ni nafasi ya kupiga dili tu. Huwezi kupata shida kutabili hali inavyoweza kuwa kwa kutazama team yake; Rostam, Chenge na wengine.
Yeye na JK ndio waliokuja na 'slogan' ya nguvu mpya, kasi mpya na ya maisha bora kwa Lila Mtanzania lakini kila mtu aliona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.