Recent content by SAUTI KUTOKA NYIKANI

  1. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DED wa Mbeya DC anatumia Madaraka yake vibaya kukandamiza Watumishi

    Niliposoma Kwanza nimecheka. 1. Bi. Erica Yegella na Mwenyekiti wake wa Halmashauri Bi. Aida Haule wamezuia michwa iliyokuwa inatafuna bila kunawa na wamepata hati safi. 2. DAS wa Wilaya ya Mbeya leo katika kikao cha Baraza la Madiwani katoa Kongole kwa uongozi wa Halmashauri na utulivu ulivyo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tukiacha kuficha sabuni kwenye maji tutalinda maadili yetu

    Na Gordon Kalulunga Watu wa Nyikani wanatuonya kuwa hatupaswi kuficha Sabuni kwenye Maji maana itayeyuka. Na anayeshangaa kutokuta Sabuni ndani ya Maji bali kuona povu wakati yeye aliificha hiyo Sabuni kwenye Maji nasi tunamshangaa. Katika suala la mmomonyoko wa maadili serikali ilificha...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tukiacha kuficha sabuni kwenye maji, tutalinda maadili yetu

    Na Gordon Kalulunga Watu wa Nyikani wanatuonya kuwa hatupaswi kuficha Sabuni kwenye Maji maana itayeyuka. Na anayeshangaa kutokuta Sabuni ndani ya Maji bali kuona povu wakati yeye aliificha hiyo Sabuni kwenye Maji nasi tunamshangaa. Katika suala la mmomonyoko wa maadili serikali ilificha...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mama afariki Dunia akiwa nyumbani kwa kukosa pesa ya matibabu, aacha watoto wadogo

    Na sasa Serikali itafurahia watoto wakifa kwa kukosa Matibabu hasa wale ambao Wazazi wao walikuwa Wana uwezo wa kuwalipia Bima ambazo kwa sasa imekuwa kama anasa.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Poleni waandishi na Polisi, hongereni wanasiasa

    NASHINDWA kuyazuia machozi yangu yanapobubujika na kudondoa kwenye kope za macho yangu hasa ninapokumbuka kifo cha Mwandishi Daud Mwangosi na watanzania wengine waliokufa na kujeruhiwa kwenye mikutano ya kisiasa hapa nchini kwetu Tanzania. Nianze kwa kutoa pole kwa wananchi wote wakiwemo...
Back
Top Bottom