Recent content by Sausi Alex

  1. Sausi Alex

    #COVID19 Rais Museveni akutwa na Maambukizi ya COVID-19

    Tayar washammaliza chezea upinde wa mvua
  2. Sausi Alex

    Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

    Ndugu kinywa chako kisikufanye ukajisahau kuwa wewe ni baba wa watoto na unategemewa hivyo chunga sana Uslamu ni dini ya haki
  3. Sausi Alex

    Zanzibar: Meli ya Serikali iliyokarabatiwa kwa Tsh. Bil 3.6 yauzwa kwa Tsh. Mil 536.8

    Mmhhh sisemi ngoja nikae kimya Sina wakili wa kunitetea
  4. Sausi Alex

    Kigwangalla: Kwanini Serikali imenunua mabehewa ya SGR yaliyotumika (used)?

    Waafrica ni nyani aliyesema hajakosea
  5. Sausi Alex

    Ufaransa: Mbunge aliyetoa kauli ya ubaguzi bungeni aadhibiwa

    Ameelezwa ukweli Kwani kunakosa kafanya jaman mbona tukwepe ukweli
  6. Sausi Alex

    Viongozi wa Serikali za Mtaa wanajichukulia poa hawafanyi majukumu yao stahiki

    Swali ni Moja tu mbona hawana maisha Bora Kama ya hao walioko juu
  7. Sausi Alex

    Tanzania ya pili Afrika kwa imani za kishirikina

    Tanzania😂😂😂😂😂😂
  8. Sausi Alex

    CPJ: Wanahabari wasiopungua 28 wanashikiliwa na polisi katika maandamano yanayoendelea dhidi ya serikali ya Iran

    Sasa wewe na Muslim mnautofauti gani maana hata Leo nchi za kiafrika zinatambua kuwa watu wetu ni wadumavu wa akili
  9. Sausi Alex

    CPJ: Wanahabari wasiopungua 28 wanashikiliwa na polisi katika maandamano yanayoendelea dhidi ya serikali ya Iran

    Usifoke maana hata huo mpango wa kulipua American ulipangwa ili kuidhinisha uvamizi kwenye nchi za kiarabu na kuchafua dini Ila Uislam hauwezi kutoweka kwenye hii Dunia hivyo punguza kukurupuka
  10. Sausi Alex

    CPJ: Wanahabari wasiopungua 28 wanashikiliwa na polisi katika maandamano yanayoendelea dhidi ya serikali ya Iran

    Unajua waandaji wa hayo makundi au unaongea baada ya kumaliza kunywa togwa
Back
Top Bottom