HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,364
- 94,545
Serikali imeondoa mswada wa bima ya afya kwa wote, kutokana na mapungufu mbalimbali.
Mswada huo umeondolewa ikiwa tayari umesomwa kwa mara ya kwanza kwenye Bunge lililopita
CHADEMA jana kwenye mkutano wa na waandishi waliitaka Serikali kutoendelea na mpango wa kuusoma mswada huo bungeni kwani Mswada hauko sawa.
=====
Serikali imeondoa Muswada wa Bima ya Afya kwa wote kutokana na mashauriano yanayoendelea kati ya Bunge na Serikali, Hatua hiyo imefikiwa ikiwa tayari umesomwa kwa mara ya kwanza kwenye Bunge lililopita.
Spika Tulia Ackson amesema “Muswada huo utaletwa hapa Bungeni tutakapokuwa tumemaliza hayo mashauriano kwa kuwa kuna hoja kadhaa zilimeibuliwa na Wabunge na wadau waliojitokez mbele ya kamati.”
Amesema ulikuwa uingie Bungeni, leo Novemba 11, 2022 kwa ajili ya mjadala na kumaliza kazi ya kuitunga sheria husika.