Wandugu, msaada wenu unahitajika. Nina kama siku tatu hivi sioni sign out option nikiwa kwenye inbox yangu ya jamii foram. Nasign kawaida kuingia lakini nikitaka kutoka nalazimika kuexit kwa kufunga kabisa internet window.
Je hii inaweza kuwa imesababishwa na nini? na je nifanyeje ili niione...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.