Recent content by Satorukage

  1. Satorukage

    Kwanini bundle zinaongezeka bei?

    Nataka mtu atueleweshe kwanini bundle zimepanda bei na nini kilichosababisha hali hii, vile vile na solutions za tatizo hilo kama lipo. Hii inaumiza sana wanachuo, unakuta mtu yuko radhi aweke bundle kuliko kula. Mie naona sio haki kabisa.
  2. Satorukage

    Ukiambiwa uchague moja kati ya hizi kwa matumizi ya nyumbani

    Lakini kuna maeneo hayana access ya fiber
  3. Satorukage

    Ukiambiwa uchague moja kati ya hizi kwa matumizi ya nyumbani

    Lakini kuna maeneo hayana access ya fiber
  4. Satorukage

    Ukiambiwa uchague moja kati ya hizi kwa matumizi ya nyumbani

    Ukiambiwa uchague moja kati ya hizi kwa matumizi ya nyumbani, utachagua ipi na kwa nini? 1. High Spidi Internet bila kikomo (Fiber) Mwezi mzima. 2. FULL DSTV + AZAM TV + Startimes Mwezi mzima Retweer from @iamkaga
  5. Satorukage

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Boss hapa mjini kampuni tatu tuh ndo zina true unlimited bundles ambazo speed hazishuki 1.Zuku fiber 2.CTV 3.TTCL Usikubali kununua internet za dish, hizo zinakua na downtime mara nyingi
  6. Satorukage

    Msaada: iPhone 6 plus ina changamoto ya battery

    [emoji28] aliyekufungia battery hajaikaza connection vizuri
  7. Satorukage

    Napata Mkanganyiko hapa kuhusu hii simu. Sijalala toka jana

    Cha msingi tafuta simu yenye storage kubwa, ram kubwa na muhimu zaidi yenye battery kubwa basi simu za sikuizi za budget hua ni nzuri sana hata usihofu
  8. Satorukage

    Wajuvi nahitaji kufahamu nini maana ya chipset kwenye Android

    Chipset tufananishe na engine za gari kwahio yani kama gari ina engine nzuri basi inakimbia au sio?... ni sawa na simu na chipset ikiwa na chipset nzuri basi hua hazigandi gandi ukiwa unatumia na hua ukifungua app zinafunguka hapo hapo lakini ikiwa chipset yake sio nzuri inakua simu inapata joto...
  9. Satorukage

    Jinsi ya kununua magari mtandaoni

    Hapana mtandaoni sio kama ilee magari yote bei ghali, ni kwamba kila gari linafanyiwa inspection na kupewa bei kulingana na inspection hio Unaweza ukakuta gari nzuri kwa njee kila kitu safi kwa bei ndogo kulingana na zengine lakini ikifika unaanza kupata matatizo mbali mbali, Nashauri...
  10. Satorukage

    Introducing your newest member

    Hodii mpaka ndani. JamiiForums ilikua inanisaidiaga sana nikitaka kujua vitu vya mjini mijini nadhani mnaelewa. Yani hii website ni kama google flani ivi lakini ya Kiswahili🦦 Mimi ni mwanafunzi wa UDSM mwaka wa kwanza ndo naelekea wa pili, nasomea Bachelors Degree in Computer Engineering and IT...
  11. Satorukage

    Narudishaje magroup ya WhatsApp baada ya kubadili simu?

    Wakituma msg zinarudi zenyewe kama hazijarudi basi utakua ume left hayo magroup 🦦 waambie ma admin wakuonganishe tena
Back
Top Bottom