Kwamba atakuwa ameanguka kama kiloba cha viazi kilichojaa kangomba?
Kila aliyehusika zile siku "dark days" malipo ya zile siku yatakuwa maradufu!!
R.I.P. Balozi Polepole.
Hiki ukichokiandika kwa hatua aliyofikia ni kama kumshauri ndugu yako mwizi aliyekubuhu kwa kumwambia "ukiendelea na tabia ya kuwaibia watu utachomwa moto"
Huwa haisaidii kwa maneno kama haya.
Wezi,Wala nyeto na walevi sugu Huwa wanaachaga wenyewe tu tabia za hovyo.
Wewe ulipofikia hauhitaji msaada wowote ila Neema tu ya Mungu.
Utajikuta tu siku Moja unaanza ku-question Kila kitu kuhusu ngono na utaona everything is just a vanity.
Hatua uliyofikia ni kama mpiga nyeto tu..Kila siku ajipiga anasema Leo ni siku ya mwisho. Ila ikigeuka Siku akajikuta yupo...
Leo unajifanya "Uislamu hautetewi"
Si ni wewe Huku ndani na wapumbavu wenzio Kila siku hamuishi kuandika nyuzi udini mkitetea ujinga.
Sasa kama huna udini kinachokiufanya unaandika ukumanina Kila unapona Uzi wa Lissu nini sasa?
Mkono huu huu ulioandika huu USENGE ndiyo mkono huu huu Huwa unatetea uislamu.
Kuna watu tupo nao jf ila ni walemavu wa akili,mmoja wapo ni huyu jamaa!!
Mbali na Ras Simba ambaye watu wamemzoea Kuna jamaa mmoja anajiita ostaz yupo Arusha anaonekana ana mbinu mzuri za ufundishaji maana wanafunzi wake wapo sawa.. Namewonaga tu mtandaoni.
Kina mwingine anajjiita "Mtumba English" yupo sinza Naye Yuko vizuri.
Kwa taasisi nilikuwa nawajua hao pia...
Hapana,
Mimi siyo mtu mlaini.
Kijasusi,adui/mtu aliye kinyume na
haki ka ilivyo wewe na kina Tlatlah anapokuja upande wa haki ghafla na kusema "naombeni msamaha" bila kutanabaisha kwa nini anaomba msamaha ghafla lazima tu-queation.
Usije kuwa na Tabia za T Bag wa prison Break...Anakuwa mpole...
Recently Kuna kitu hakipo sawa Kwa Hawa machawa waandamizi wa Samia Hapa Jf...
Imekuwaje mmekuwa Walpole ghafla? Ukiangalia chawa mwingine Tlatlah"Gentleman 🐒 "aliyekuwa anaandika madudu,Sasa hivi nae kawa mpole kupita kiasi. Ana vicoment vifupi kama "ok" "sawa"
Nini kimewapata? Alafu hii hali...
Wale jamaa wametupiga bao kwenye swala Zima la kujiamini.
Unakuta mbongo anaweza kufanya kitu sahihi kabisa,akija mkenya na kuanza ku-question kile anachofanya mbongo,badala ya kumpa majibu yanayoeleeweka na kwanini anafanya hivyo anajikuta anaona "asee kweli hapa nimekosea" ukimuuliza umekosea...
Mkuu,
Katika picha ya juu,watanzania tunaonekana kama tuna tatizo kubwa la kiingereza na tunashindwa kupresent kwenye international platforms kwa sababu ya language barrier.
Ila deep down tatizo letu kubwa siyo kiingereza...Ni confidence.
Mbongo Hana confidence kwenye majukwaa ya kimataifa...
Kwa mfano nchi ya Cameroon upande mmoja ni wanaongea kiingereza na upande wa pili wanaongea kifarsnsa...Yani nchi Moja Ina lugha mbili za kimataifa.
Wale jamaa wametuzidi nini katika context yako ya "exposure" au hata maendeleo?
Burundi na congo wanaongea lugha ya kimataifa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.