Recent content by satininus

 1. satininus

  Mbona siielewi namba 19?

  The number 19 in numerology represents spiritual growth and expansion. This number encourages you to reach for your goals and to dream big! It also represents faith, hope, and good luck. When you see this number, it is a reminder to stay positive and optimistic. Kulingana na maelezo hapo juu...
 2. satininus

  Waliolipwa mafao ya serikali kwa kutumia kikotoo kipya mtujuze

  Ni kweli maana nashindwa kukipata vizuri kwenye google.
 3. satininus

  Waliolipwa mafao ya serikali kwa kutumia kikotoo kipya mtujuze

  Mimi ni mtumishi wa serikali ambaye nakaribia kustaafu. Naomba kupata japo ushuhuda kidogo kwa watumishi wa umma kupitia mfuko wa pensheni wa PSSSF waliostaafu kuanzia julai 2022. Je mkupuo wamepata ngapi na malipo ya kila mwezi ni vipi.Ama watupe kanuni ya kikokotoo hicho ili tujue tutapata...
 4. satininus

  Maana ya "be"

  A verb is a word that in syntax generally conveys an action, an occurrence, or a state of being. In the usual description of English, the basic form, with or without the particle to, is the infinitive. In many languages, verbs are inflected to encode tense, aspect, mood, and voice.
 5. satininus

  Kamati Kuu ya CCM yaielekeza Serikali kuchukua hatua kuhusu maoni ya TOZO

  Mwenyekiti wa CCM taifa amemuagiza Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kusikiliza malalamiko ya wananchi kuhusu tozo.
 6. satininus

  Ingekuwa Bunge la Uingereza Spika ndio angeonyesha "kifungu" cha Sheria kama kipo au hakipo badala ya kumlazimisha Ole Sendeka

  Mbona hata wakazi waliojenga kando ya Morogoro Road kuanzia Ubungo hadi Kibamba walihamishwa na wengine kupelekwa Mbweni na maeneo mengine ya pembeni ya jiji?Wapo wale wa Kipawa ambao walihamishiwa Buyuni mbona hakukuwa na tafrani ya kupinga kuhamishwa?Wao walikuwa wanalalamikia fidia zao kwa...
 7. satininus

  Kuna haja kwa Kanisa Katoliki kuchukua Jukumu la kulinda wachungaji wake

  A bishop then must be blameless, the husband of one wife, vigilant, sober, of good behaviour, given to hospitality, apt to teach 1 Timothy 3:2
 8. satininus

  Spika Tulia aipa serikali miezi 3 kuleta taarifa kama ni kweli Tembo wanaua watu katika maeneo mbalimbali nchini

  Ni janja ya wale jamaa ili kuandaa mkakati wa kupunguza idadi ya tembo.
 9. satininus

  Mambo yanayodumisha utamaduni wetu

  Unaweza kumuona mzee wa kwanza alivyovaa kuonyesha namna anavyoheshimu tukio zima,maandalizi yake na vifaa alivyobeba mfano radio ambayo inazidi kushajiisha tukio zima. Wazee wote kwa ujumla wamekaa kwa heshima kubwa huku wakitafakari kW makini. Tunajifunza kuwa self organised hasa katika...
 10. satininus

  Mambo yanayodumisha utamaduni wetu

  Hebu toa uzoefu wako kidogo kuhusu kichumini. Maana jamaa kwao hii ni business kabisa hasa nyakati za mwisho wa mwaka. Na matukio kama haya hukuyanisha watu na kuwaganya kuwa wamoja. Unaweza kuleta tukio la kutukumbusha kidogo kuhusu story nzuri za kichumini?Je, kwenu kuna lolote la kujivunia...
 11. satininus

  Usimuonee huruma Mwanamke

  Onyo unapokaribia kuingia Nyeri
 12. satininus

  Iringa: Kanisa Katoliki lawazuia waumini walioshiriki kongamano la Mwamposa kutopokea Sakramenti ya Ekaristi Takatifu mpaka watakapoungama

  Walioitwa ni wengi na bali wateule ni wachache.Ni jambo la mtu mmoja mikononi Mungu.
Top Bottom