Ni uongo deni sio sababu ya mgogoro uliopo.
Mgogoro umesababishwa na kuhamishwa makao makuu toka Tukuyu na kupelekwa Mbeya mjini na fukuza fukuza ya wachungaji wanaokataa matakwa ya Mwaikali,ilipofika sass hivi hakuna Usharika unapokea mchungaji mpya tena,Sharika haziwapi hifadhi tena
Umesoma vizuri content yangu?mi nilichoelezea kiini cha mgogoro ni kuhusu kuamishwa kwa ofisi za dayosisi na sio hicho walichoandika hapo kua ni ishu ya pesa
Hii inapotosha ukweli kabisa,kiini cha mgogoro uliopo ni kuhamisha makao makuu ya dayosisi kutoka Tukuyu na kwenda Mbeya Mjini katika usharika wa Ruanda,ofisi za Askofu ziko ofisi ya Rwanda ingawa Usharika anaosali Uko Betheli na kuna kiti chake cha Askofu ila KITI CHA UASKOFU KIPO USHARIKA WA...
Symmetrical All Wheel drive (AWD) za Subbie Fozzy ni sayari nyingine aiseee, weka mbali na watoto mi mtu kukaa mbele yangu km hatembei naonaga kichefuchefu sasa Subbie ndo utazipenda, Subaru Forester ni gari za rough road haswaaa kuliko BMW zinapenda lami sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.