Recent content by SassyS

  1. SassyS

    Nampenda ila ananitesa sana, nakonda kisa Mapenzi

    Hivi mtu anapata wapi uthubutu wa kusema mbele ya watu kuwa kambaka mtu?! Not once. Twice! Lakini kiasi athubutu, maana kwa wachangiaji karibu ya wote hiyo ni non-issue kabisaaaa! Duh! Kuwa uyaone!
  2. SassyS

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Tuchukulie wewe ni Wema Sepetu. Unaitwa kuulizwa dawa za kulevya unazipata wapi. Ukijibu "mimi situmii dawa za kulevya wala sijui zinapopatikana" Makonda atakufanya nini? Kwa mujibu wa kifungu gani cha sheria.
  3. SassyS

    Rais Magufuli: Mawakili wanaowatetea wahalifu waliokutwa na ushahidi nao wawekwe rumande ili wakome

    Huwezi kutaja "shahidi", "mahakama" na "hukumu" bila ya kukubali uwepo wa mawakili wa kutetea na wa kupinga. Ukizungumzia ushahidi mahakamani kimsingi unazungumzia mchakato wake wote ambao unahusisha mawakili wa kuteteae na wa kupinga.
  4. SassyS

    Rais Magufuli: Mawakili wanaowatetea wahalifu waliokutwa na ushahidi nao wawekwe rumande ili wakome

    "ushahidi" kwa mujibu wa nani? Mahakama ina kazi gani? Amesema hayo kutokana na kuidharau kwake mahakama.
  5. SassyS

    Magari, pikipiki yang'olewa matairi. Ni katika kutekeleza agizo la Rais Magufuli

    Yukio engine la wafanyakazi wa umma Tanzania kutokujitambua! Askari mzima na uniform yako, unapinda mgongo kutoa matairi ya pikipiki ya mtu! Hadhi yako ipo wapi hapo?!
  6. SassyS

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG), Waziri wa Sheria na hawa wajiuzulu mara moja

    Ikiwa tunatakiwa kuelezea ukweli itatupasa tusema hivi "Rais ameteua wabunge nane, sita kati yao ni wanaume" Haijalishi kama mmoja kajiuzulu au la. Waliteuliwa na wakatumikia position ya Ubunge. Au mnataka kusema sasa anaweza kuteua hadi wakafika 11? Na akiamua kumshinikiza mwengine...
  7. SassyS

    Q & A ya Mhe. Rais & Mhe. Abdallah Possi

    Akigoma kujiuzulu Ibara hiyo hiyo ya ukomo wa Ubunge inaweza kumhusu kwa njia nyengine..... Labda ya "kifo cha mapema zaidi"
  8. SassyS

    Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa!

    Kwani hata akijiizulu ndio itakuwa Rais hajateua wabunge 6 wanaume? Kwa kuwa tukiacha mtu ajiuzulu "nafasi inakuwa wazi", maana yake ni kwamba Rais anaweza kuteua wabunge kumi, akawashinikiza wote wajiuzulu (akiwa amewachoka), akaanza tena hesabu mpya ya kumi! Katiba inasema ana uwezo wa...
  9. SassyS

    Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa!

    Haya maelezo yamewahusu wanawake wote wanaoshabikia CCM. Kwamba Rais ameshindwa kupata mwanamke mwenye sifa kati yenu chote kiasi cha kuwa amelazimika kusigina katiba ... Hakuwa na jinsi! :D
  10. SassyS

    Kufuatia kuteuliwa na Rais Magufuli kuwa mbunge, Profesa Kabudi ashauriwa na wasomi

    Huyo Professor ajue kuwa kwa uteuzi wake tu tayari Rais ameshavunja katiba. Kama ni mbobezi wa sheria na achukue hatua kupinga hilo
  11. SassyS

    Makongoro Mahanga: Rais kavunja katiba kuteua wabunge wa kiume 6, inataka wawe wanawake angalau 5

    Hujui maana ya "angalau"?! Tafadhali sana usitudhihaki. Ni uvunjifu wa wazi wa Katiba. Katiba inamtaka Rais asichague zaidi ya wanaume watano. Wazi kabisa
  12. SassyS

    Samaki wa Magufuli waitia Serikali hasara

    Hizo tulilipa ikisha tukenda kuchezea zaidi ya hizo kwenye MV Dar es Salaam
  13. SassyS

    Mkasa mzima kutenguliwa kwa Mkurugenzi wa NIMR

    Nami pia nisingejiuzulu .... Ningemuacha mheshimiwa akajivua nguo kama hivi alivyojivua. Maana sasa ndio ameita dunia nzima imuone namna asivyoelewa kazi ya tafiti! Au ndio shida Kiingereza, ameshindwa kung'amua kilichomaanishwa? Alipige marufuku na journal lilochapisha utafiti ule pia.
  14. SassyS

    Samahani Waziri Mkuu "Tabasamu" Majaliwa Hatumfikirii Faru John

    Serikali ya utalii hii -Raia wafe kwa uhaba wa dawa ila ndege za kubebea watalii zinunuliwe kwa cash - Raia waachwe na virusi vya Zika, ili Mtalii asije kugoma kuja - binaadamu Vifo vyao havina athari, cha faru ndio muhimu, maana wapo katika hatari ya kutoweka na kuathiri staarehe ya Mzungu...
Back
Top Bottom