Mkasa mzima kutenguliwa kwa Mkurugenzi wa NIMR

Nimejaribu kusoma hii habari zaidi ya mara 5 sijaona sehemu ambayo wingu limetanda labda wenzangu mnisaidie kuhusu hilo wingu
Ndio maana mikishaacha kununua haya magazeti, hawa ndio waandishi na wahariri tunaowategemea watupe habari!
 
huyo mwele hakujua kuwa anafanya kazi chini ya wizara.? anaamka tu na taarifa zake tena za uongo alitegemea nini?
Nilichogundua pamoja na kua amefanya makosa,lakini kwa nchi zetu hizi wanaweza kuficha kwa kuogopa kuichafua nchi kimataifa,hasa kwa watalii na wawekezaji,lakini inawezekana kunatatizo kweli,sasa wewe endelea kubisha na kumkosoa mwanamke mwenzio halafu siku ikikukuta kwenye familia yako au wewe mwenyewe ndio utajua,maana ushambiwa madhara ya ugonjwa huu ni pamoja na watoto kuzaliwa na vichwa vikubwa au macho makubwa kuliko vichwa.
Na watoto wa namna hiyo tunaona kwenye mitandao kalibu kila mala.
 
huyo mwele hakujua kuwa anafanya kazi chini ya wizara.? anaamka tu na taarifa zake tena za uongo alitegemea nini?
sayansi sio siasa hawa wanajikomba na waliomtumbuwa wana aibu ya dunia n itachukuwa muda mrefu wakijitetea kuhuru hili Mwele yeye kaondoka na ataendelea kutafiti mahala pengine duniani sio lazima Tanzania hakuazima vyeti wala ujuzi na hauwezi kupokwa
 
Sasa hivi ina maana wataalamu wetu tunamashaka nao mpaka wazungu waseme{WHO},nchi za kiafrika sijui hawa wasomi ni wa nn sasa;maana tafiti zao haziaminiki au pengine ni kweli ila hakuwasiliana na wakubwa zake?
 
Mimi nadhani Watanzania IPO haja ya kujirekebisha, hasa wale wanaotumikia wananchi kupitia taasisi za Serikali, huyu mama alipoitwa na Waziri wa Afya na kutoa maelezo juu ya utafiti wao halafu Waziri na timu yake wakawa hawajaridhika hivyo kumbidi Mama Ummy Mwalimu kukanusha hiyo taarifa, tena akiwa na huyo Dr.Malecela........

Mimi nilitegemea Dr Malecela mwenyewe kujiuzulu nafasi yake Mara baada ya yeye tu kukanusha kuwa utafiti wake haukuwa sahihi na sio kusingizia kuwa watu hawakumuelewa.

Kwa kujiuzulu angejiwekea heshima kuwa yeye amefanya utafiti kama mtaalamu na Serikali imedharau tafiti yake, so kuonyesha kuwa anasimamia anachokiamini basi kaamua kuachia ofisi......

Hayo ni mawazo yangu kama Mtanzania nisiyependa kuabika.
Aseme utafiti wake sio sahihi ilhali ni sahihi?!

Yeye amesema watu wamegundulika na virusi vya Zika, hajasema kuwa kuna mlipuko wa ugonjwa wa Zika.

Mbona wagumu kuelewa?!
 
Magufuri mjanja...lazima atamfuta machozi mda si mrefu kwa kumpa posti kubwa kama kuwa mkuu wa hospital ya muhimbili kitengo cha mifupa kwani aliepo bado anakaimu.
Hahahaha.
Hamna aisee. .hii imetoka. ..duh!
 
Mimi nadhani Watanzania IPO haja ya kujirekebisha, hasa wale wanaotumikia wananchi kupitia taasisi za Serikali, huyu mama alipoitwa na Waziri wa Afya na kutoa maelezo juu ya utafiti wao halafu Waziri na timu yake wakawa hawajaridhika hivyo kumbidi Mama Ummy Mwalimu kukanusha hiyo taarifa, tena akiwa na huyo Dr.Malecela........

Mimi nilitegemea Dr Malecela mwenyewe kujiuzulu nafasi yake Mara baada ya yeye tu kukanusha kuwa utafiti wake haukuwa sahihi na sio kusingizia kuwa watu hawakumuelewa.

Kwa kujiuzulu angejiwekea heshima kuwa yeye amefanya utafiti kama mtaalamu na Serikali imedharau tafiti yake, so kuonyesha kuwa anasimamia anachokiamini basi kaamua kuachia ofisi......

Hayo ni mawazo yangu kama Mtanzania nisiyependa kuabika.
SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA. ...
 
Mkuu unaweza kuwa right or false in your statements, in all those of cases... but your best bet kusolve hizo statements using mathematical logic using Converse, Inverse and Contraceptive statements,

Hii kwa kuongezea tu, ni just an hypothesis as inverse of your logical statements, I can create the following statements as well.

A. Labda Dr. Mwele alikua anasubiri an opportunity to get out, then alikua na bifu ya kufukuzwa kwa mama yake kama Mkuu wa Mkoa,

B. Dr. Mwele is a well capable Doctor, then she could seek green pasture somewhere else, then she was within her means, to seek a better employment terms..

C. Dr. Mwele didn't bother dealing with the bullies from his peers, in this case wizara ya Afya, then she is more capable and knowledgeable more than his peers..

D. She couldn't be bothered, she is 50 plus had enough of public office too politicize.

E. She cares a lot about public health, then who cares let her be a rebel...

inahitaji kutafakari sana, kwa climate ya politics za chuki, na personal attacks, sometimes it is hard to get the core of the problem of these political ramifications......
Mkuu haututendei haki kabisa sisi wafuasi wa lipumba. Rahisisha nakulegeza lugha mkuu hili sisi wakutoka huku temeke mikoroshini na bugiruni tuelewe ni nini kinazungumziwa kwenye huu Uzi.

Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa!
 
Nimejaribu kusoma hii habari zaidi ya mara 5 sijaona sehemu ambayo wingu limetanda labda wenzangu mnisaidie kuhusu hilo wingu
Mmh nahisi umekuta mvua imeshanyesha Sasa wingu nalo halipo,mie pia sikuliwahi.
 
ok, sawa ila sioni hilo wingu, kwakuwa umeongelea zika, tusema tu poa alikuwa anajifanyia tafiti, ingawa tafiti yake hakuipeleka wizarani, swali je? virus vipo au havipo?
 
Hakustahili kufukuzwa ni kukurupuka tu bila kukaa chini na kutafakari kwa kina kabla ya kufanya maamuzi. Tumeona kufukuzwa kwa Mafuru kisa tu kusema ukweli ambao ulipinga uongo tulioambiwa na MTAKATIFU.

Ambacho sikielewi...hivi kweli hilo kosa alilolifanya linahalalisha kufukuzwa kazi?

Hakuweza kupewa onyo tu la kiofisi kwamba 'hapa umechemsha, usirudie tena'?

Au labda alikuwa anatafutiwa sababu kwa siku nyingi na fursa ilipojitokeza tu ndo ikawa mwisho wake?
 
Mkuu unaweza kuwa right or false in your statements, in all those of cases... but your best bet kusolve hizo statements using mathematical logic using Converse, Inverse and Contraceptive statements,

Hii kwa kuongezea tu, ni just an hypothesis as inverse of your logical statements, I can create the following statements as well.

A. Labda Dr. Mwele alikua anasubiri an opportunity to get out, then alikua na bifu ya kufukuzwa kwa mama yake kama Mkuu wa Mkoa,

B. Dr. Mwele is a well capable Doctor, then she could seek green pasture somewhere else, then she was within her means, to seek a better employment terms..

C. Dr. Mwele didn't bother dealing with the bullies from his peers, in this case wizara ya Afya, then she is more capable and knowledgeable more than his peers..

D. She couldn't be bothered, she is 50 plus had enough of public office too politicize.

E. She cares a lot about public health, then who cares let her be a rebel...

inahitaji kutafakari sana, kwa climate ya politics za chuki, na personal attacks, sometimes it is hard to get the core of the problem of these political ramifications......

Yaani yote hayo uliyoandika ni speculations tupu ambazo karibu zote ni illogical. The fact is hakuna anayejua kwanini uteuzi wa Dr. Mwele umetenguliwa zaidi ya aliyemtengua.
 
Aseme utafiti wake sio sahihi ilhali ni sahihi?!

Yeye amesema watu wamegundulika na virusi vya Zika, hajasema kuwa kuna mlipuko wa ugonjwa wa Zika.

Mbona wagumu kuelewa?!
Mkuu nimeelewa....ndio maana nikasema ili kuonyesha kuwa anasimamia anachokiamini, angejiuzulu tu yeye mwenyewe ili kuonyesha msimamo wake.
 
Nami pia nisingejiuzulu .... Ningemuacha mheshimiwa akajivua nguo kama hivi alivyojivua.

Maana sasa ndio ameita dunia nzima imuone namna asivyoelewa kazi ya tafiti! Au ndio shida Kiingereza, ameshindwa kung'amua kilichomaanishwa?

Alipige marufuku na journal lilochapisha utafiti ule pia.
 
Back
Top Bottom