Recent content by saska

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nakuchukia Baba yangu

    "Kijana wa kiume kadri anavyokuwa ndivyo anavyoendelea kumsamehee Baba yake". Ni nukuu ya walioona mengi wanawake wana mitihani migumu tusisahau hata mama zetu ni wanawake. japo siyo justification ya kina baba kutotimiza wajibu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tuliozaa nje ya ndoa tukutane hapa, tujadili changamoto tunazokutana nazo

    Haijawahi kutokea mwanaume akazaa rekebisha hapo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

    Ngoja niteme nyongo kidogo I declare interest Huu ushamba umetusaidia tumenunua ardhi yenu morogoro, Iringa, Mbeya Tanga ,Dodoma, lindi, mtwara, mpanda Kigoma, achana na mikoa yetu, Huko kwenu ndo tunachungia na kuzalisha vingi. Na dada zenu huwambii kitu Kuhusu sisi. Huu ushamba bana...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mwamposa awasili Leaders Club kuendesha ibada ya kumuaga Muigizaji Grace Mapunda (Tessa)

    Nawaza kwa sauti "huyu jamaa si aahirishe tu ibada amfufue tu marehemu watu wasambae na sisi wagalatia tuliorogwa tumwanini"
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kutolewa jongotongo juu ya huu ujauzito

    🇧🔬🖲🖲🖲🖲🚨🚨🚨🔬🔬🔬
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao

    Kinachouma zaidi picha ya baba ipo hela lkn wewe mtoto huna hizo hela😂🤣🤣
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wazee wa International Flights sogea hapa unaweza saidia kwa wazo lako

    tp hilo ushatumiwa Iphone macbook na digital camera mixer mapichapicha inbox na umeombwa dola 150 shituka hao ni waghana mixer Nigeria
  8. S

    JamiiForums Tanzania Salim Hassan Turky: CHADEMA walilipia gharama za Ndege iliyomsafirisha Lissu

    muda mwigine huwa namaliza hata miezi mitatu naingia humu kila Siku nasoma na kutoka maana GT km wapo humu muda mwingi mm nawakutaga washalewa #kichefuchefu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Hakuna raia anayeweza kumdhuru Lissu nje ya uwanja wa siasa, CCM na Serikali hili liko wazi

    Kufuatia tishio kwa maisha yake: Zitto apewa ulinzi na Polisi
  10. S

    JamiiForums Tanzania Shambulio la Tundu Lissu: Tutegemee wafuatao kufanywa kondoo wa Kafara

    Kufuatia tishio kwa maisha yake: Zitto apewa ulinzi na Polisi
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe anakera anavyolazimisha urafiki na CCM. Chama kinahitaji majasiri kama Heche, Lijualikali, Kiwanga..

    Kufuatia tishio kwa maisha yake: Zitto apewa ulinzi na Polisi
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kamanda anapouza ramani ya vita

    Unaona hadithi kwa kuwa elimu ndogo hujaelewa BACK2SCHOOL na hili ndo tatizo lenu na ngao yenu ni MATUSI sikushangai ndo sifa zenu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kamanda anapouza ramani ya vita

    kaa ukijua pia wapo SLEEPER AGENT ambao tumewasomesha kwa kodi zetu huko Ulaya hawa huwa reserve wa mataifa ya Ulaya muda wa kutumika ukifika huwezi kuamini kuwa ndiye rudi darasani wala usitangulize hasira kwenye mchezo huu mchafu
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kamanda anapouza ramani ya vita

    Salamu jukwaa, Wakati taifa likiwa katika harakati za kupambana na mabepari ili kunusuru rasilimali za nchi makamanda tuliowaamini muda mrefu tukawatanguliza ili waongoze vita leo wameungana na kushirikiana na adui wakitanguliza maslahi ya kisiasa na maslahi binafsi kama ni hivyo hawa ni...
  15. S

    JamiiForums Tanzania TPA wajibu Waziri Mwijage kuingilia suala la Kontena 100 ili hali si waziri mwenye dhamana

    waziri wa viwanda na BIASHARA na km bidhaa ni chakula au madawa atakuja pia waziri wa afya DG TWENDE TARATIBU NCHI PIA NI YA WOTE hata angeongea km mwananchi bado mwijage alikuwa na haki KULINDA MASLAHI
Back
Top Bottom