Recent content by Sasha7

  1. S

    JamiiForums Tanzania Je, ICLAP ni nini?

    Home of Great Thinkers mbona kimya?????
  2. S

    JamiiForums Tanzania Je, ICLAP ni nini?

    Habari zenu, samahani nilituma email sehem ya maombi ya kazi sasa wamenijibu kua nimepata ila wanaomba niwatumie INTERNATIONAL CERTIFIED LOGIC ASSESSMENT AND PSYCHOMETRIC (ICLAP) Je nini hiyo? Nilivyoona iyo (ICLAP) nikawatumia miongoni mwa cheti changu kimoja cha kimataifa nilichokipata kwenye...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tecno boom J8, Msaada!

    ahsante sana mkuu nimeongeza mala me I should saivi kidogo ina nafuu japo sio saana lakini atlist inaridhisha shukrani saana mkuu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tecno boom J8, Msaada!

    Habari zenu wakubwa, Wiki iliyopita nilinunua Tecno Boom J8 Mliman City pale, sasa naona touch yake haiko sensitive kabisa yaani mpaka ubonyeze kwa nguvu ndio zinasense Je kuna uwezekano wa kuongeza sensitivity kwenye simu? msaada tafadhali Specifications nyingine zote ziko vizuri isipokua...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tecno boom J8, Msaada!

    Habari zenu wakubwa,Week iliyopita nilinunua tecno boom J8 Mliman City pale,sasa naona touch yake haiko sensitive kabisa yaani mpaka ubonyeze Kwa nguvu ndio zinasense Je kuna uwezekano WA kuongeza sensitivity kwenye simu? msaada tafadhali Specifications nyingine zote ziko vizur isipokua...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Sekilojo Chambua alikuwa dereva wa bi. Hellen Kijo kama nani?

    Huyu faiza fox sio Muislam ila ni mshenzi flani tu..huwezi mtukana mwanamke mwenzio kana kwamba wewe ni msafi ilihali ni mshenzi wa washenzi
  7. S

    JamiiForums Tanzania Sekilojo Chambua alikuwa dereva wa bi. Hellen Kijo kama nani?

    Huyu faiza fox anaroho mbaya sana Mwanamke mzima anayejinadi kutwa kucha mitandaoni kua ni Muislam ndio Uislamu huu?kumdhihaki mwanamke mwenzie nam namna hii? Ifike mahala ujitambue faiza fox
  8. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

    Yaarabi mponye mama yetu apate nguvu..arudi katika hali yake ya kawaida!!pole sana mama Helen nakuombea shujaa wangu..😢😢usiwaze..usihuzunike wala usikate tamaa😢😢utapona na kuwa na nguvu zaidi ya mwanzo..tuko pamoja mama yangu mpenzi🙏🙏
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wingu Jeusi la kuvunjika Amani

    Tuko pamoja kamanda wangu....kitaeleweka tu watake wasitake watang'oka tu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wingu Jeusi la kuvunjika Amani

    Mtoa mada hongera sana una upeo mpana sana wa kufukiri..Mwenyezi Mungu akulipe kwa makala hii nzuri kwani imetuamsha wengi Time for change..people's power ✌
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wingu Jeusi la kuvunjika Amani

    udikteta wao umefika mwisho sasa ✌
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wingu Jeusi la kuvunjika Amani

    Huu udikteta wao umefika mwisho sasa✌
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akabidhi Polisi Magari 399 mapya kati ya 777 leo Kurasini jijini Dar es Salaam

    Fisiem mtatuua lakin kitaeleweka tu
  14. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akabidhi Polisi Magari 399 mapya kati ya 777 leo Kurasini jijini Dar es Salaam

    Yana mwisho haya mkuu....hawawezi zuia nguvu ya Ummah ata siku moja
  15. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akabidhi Polisi Magari 399 mapya kati ya 777 leo Kurasini jijini Dar es Salaam

    Hospital hazina ambulance Shule hazina madawati Badala ya kufanya mambo ya msingi wamekalia kutawala kimanavu tu ili kututia hofu wananchi mshachelewa WANAFISIEM ETI RAISI Mabadiliko lazima people's power ✌
Back
Top Bottom