Recent content by SASATELE

  1. SASATELE

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa kampuni ya Halotel wasitisha huduma

    Kiukweli hawa Vietel(Halotel) hawana ethics kabisa hakuna mfanowe. Niliwahi kufanya kazi pale kama consultant lakini nilipomaliza kazi nikaapa sitorudia milele. Kwanza wanapokulipa lazima uwatoe kuanzia mabosi(director of finance) hadi wafanyakazi wa chini. Unaombwa rushwa waziwazi bila aibu...
  2. SASATELE

    JamiiForums Tanzania Diallo una usafi gani wa kumsakama Edward Lowassa?

    Mungu nipe uhai niione vita ya mijabali 2015. Nikitafakari ni nani ataingia Magogoni 2015 sipati picha!!
  3. SASATELE

    JamiiForums Tanzania Tusiende Sombetini

    Tupa Tupa umekidhalilisha chama. utasemaje maneno ya kimafumbo lakini yenye ukweli namna hii?
  4. SASATELE

    JamiiForums Tanzania Eti ni kweli kampuni ya forever living inahusishwa na Freemason?

    huwa mimi watu wa FLP wakinisomesha nawaambia hivi "I AM SATISFIED WITH WHAT I AM GETTING WHERE I WORK, JUST GO ON WITH WHAT YOU ARE DOING AND I DO THE SAME". Tatizo ni pale kila mtu atakapotaka kuwa wakala wa bdhaa za wamarekani eti kwasabu ya commission
  5. SASATELE

    JamiiForums Tanzania Nimeumwa na Kichwa Baada ya Kuisoma Definition ya Serikali ya J/Muungano kwenye Rasimu ya 2

    Ukisoma vizuri rasimu utagundua kuwa Tume imejaribu kutatua matatizo au kero za Muungano wa sasa kwa kiasi kikubwa. Hatahivyo, ni lazima nchi hizi mbili Tanganyika na Znz zikubali kuachiamamlaka Fulani kwa Serikali ya JMT. There must be a compromise for the federation to be in place. Kwa mbali...
  6. SASATELE

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa bunge maalum la katiba: Ni wakati kwa wabunge kuwa na elimu ya form 6 na madiwani form 4

    Suala la elimu ya diploma au form six kama sharti la mbunge na form IV kwa madiwani hata mie naliafiki. Ifike mahali elimu iwe kigezo muhimu kwa viongozi hata kama uongozi ni talent
  7. SASATELE

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe kutangaza ajira alizoshinikiza TPA

    duh! nchi hii hata ufanyeje bado kuna watu watakubeza tu. Yaani Jembe kama Mwakyembe mmeanza kumnanga? What do Tanzanians want from their leader? Jamani Mnyonge mnyoneni lakini Haki yake mpeni! Mwakyembe anajitahidi kukurupusha mafisadi waliofyonza miudombinuya nchi hii
  8. SASATELE

    JamiiForums Tanzania WARIOBA: uchaguzi mkuu 2015 kutofanyika hadi katiba ya tanganyika ikamilike!

    Mtamanyali, That's subject to discussion kwenye bunge la katiba. Rasimu imetoa provision ya vingozi waliopo kuendelea na nyadhifa zao katika kipindi cha mpito hadi 2018
  9. SASATELE

    JamiiForums Tanzania WARIOBA: uchaguzi mkuu 2015 kutofanyika hadi katiba ya tanganyika ikamilike!

    ohoooo, naona kwa mbali JK akiongoza Tz hadi 2018 sababu katiba mpya inatoa provision for kipindi cha mpito hadi muda huo ili katiba ya Tanganyika na ya Zanzibar ziwe in place.This might be is strategy kwa kuanzisha mchakato wa katiba katika awamu ya pili ya uongozi! the guy is smart in his own...
  10. SASATELE

    JamiiForums Tanzania Zitto aweka pingamizi Mahakamani kuzuia Kikao cha Kamati Kuu kujadili rufaa yake kesho

    Hapa Bongo ukienda mahakamani kudai haki unaonekana msaliti wa chama au unakiharibia cama, sasa wanataka mtu aende wapi akionewa? aite waandishi wa habari kama Mengi alivyokuwa akifaya dhidi ya Rostam. Tuache chombo cha kutoa haki kifanye kazi!!
  11. SASATELE

    JamiiForums Tanzania Zitto aweka pingamizi Mahakamani kuzuia Kikao cha Kamati Kuu kujadili rufaa yake kesho

    It is very disheartening to see how opposition parties handle disagreements in their own parties. my fellow Tanzanian, when will yo learn to handle crises with little or no damage to your own parties?
  12. SASATELE

    JamiiForums Tanzania Zantel Wameenda wapi?

    Mbona wapo sana tu. Hapa nakamua na line ya Zantel pamoja na moderm tena ina speed sana!!Makelele ya marketing sio hoja!!
  13. SASATELE

    JamiiForums Tanzania SHIVJI: Serikali tatu ni kuvunja muungano

    Matola, kama Nyerere angependekeza serikali moja unadhani Karume angekubali? Mtu mwenyewe alishawishiwa saaaana na bado akasema Muungano ni kama koti likikubana unalivua. Unahitaji mtu mmajumuni wa Afrika kwelikweli kama Nkrumah au Ghadaffi kukubali kuunganisha nchi mbili kuwa moja na serikali...
  14. SASATELE

    JamiiForums Tanzania For Serious Discussants Only: How Do We Address the Following Challenges?

    HK, Tanzanians are too angry at the moment to be able to objectively discuss any issue. The incident of bombing in Arusha and the shedding of blood of innocent children is still fresh in our mind. So, bear with anyone who may have or will lash at you!
Back
Top Bottom