Recent content by sarun

  1. sarun

    Suala la Hamza Mohammed, Wapinzani mnajiaibisha sana mbele ya umma

    Usikubali kuongozwa na hisia zako mkuu utapoteza mwelekeo Sent from my OE106 using JamiiForums mobile app
  2. sarun

    Suala la Hamza Mohammed, Wapinzani mnajiaibisha sana mbele ya umma

    Thibitisha haya uliyoyasema isije ikawa na ww ndio wale wanaosikia tu kama wengine mkuu Sent from my OE106 using JamiiForums mobile app
  3. sarun

    Utaratibu wa kuteua wanajeshi kushika nyadhifa za kiraia haufai

    Kua askari hakumuondelei MTU nafasi ya kuendelea kua raia na ndio maana askari ana nafasi mbili kwenye jamii yake ambapo moja wapo ni kama msimamizi wa usalama na nyingine kama raia wa kawaida Sent from my OE106 using JamiiForums mobile app
  4. sarun

    Mkoa au Wilaya gani naweza kwenda kuanza maisha kutoka chini kabisa (from zero)?

    Mkuu Kama kilimo na ufugaji njoo mkoa wa katavi hautojutia Sent using Jamii Forums mobile app
  5. sarun

    Hakuna watu wanajiona wamefanikiwa kama wale

    [emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. sarun

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    naomba mtu anielekeze chimbo la kuuza vifaa vya ushonaji kwa jumla Sent using Jamii Forums mobile app
  7. sarun

    Niulize kuhusu mashine za ujasiriamali na upatikanaji wake

    Embroidery machine kichwa kimoja bei tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  8. sarun

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Samahani mkuu siwezi pata seti kama hii kwa gharama ndogo zaidi mfano 150,000 hadi 200,000 maana ndo tunaanza kutafuta sasa mtaji haujatosha@Mwl.RCT,
  9. sarun

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Nahitaji hiyo seti kaka niambie gharama mpaka katavi
  10. sarun

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    TZS 35,174.67 50%OFF | High Quality Tools for Leather Craft Sewing DIY Hand Stitching with Groover Awl Edge Creaser Mat Tools for Leather Working New https://s.click.aliexpress.com/e/sXBuroRO
  11. sarun

    Wanaume hamuwezi kunitongoza bila kuniuliza una mtoto au unafanya kazi gani?

    watu hatutaki kununua mashamba yenye mgogoro
  12. sarun

    Naprint na Kudarizi T-Shirts Mashati n.k

    Embroidery machine
  13. sarun

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    hii gharama inakua mpaka nakabidhiwa mzigo au kuna gharama zingine zitaongezeka Sent using Jamii Forums mobile app
  14. sarun

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    *NEW* Brother SE400 Combination Computerized Sewing & 4x4 Embroidery Machine 689741614518 | eBay na hii unisaidie bei yake Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom