emmarki
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 682
- 918
Baada ya kufanya kazi ya huduma kwa wateja vodacom, kwa zaidi ya mwaka mmoja chini ya kampuni ya outsourcing.
Nimeacha kazi baada ya kuona sisogei kimaendeleo licha ya kujinyima sana na kutumia njia nyingi kujaribu kuweka akiba lakini inashindikana kwa sababu mshahara ni mdogo sana na tayari nina majukumu ya kulea mtoto.
Mshahara ni laki mbili gross, ikikatwa makato mengine ni kupokea laki na sabini na vichenji.
Naomba ushauri, ni mkoa gani naweza kwenda kuanza maisha chini kabisa na shughuli gani naweza fanya kwa mtaji mdogo kuanzia laki moja na ikafanikiwa kukua? Mkoa iwe nje ya Dar es Salaam.