Recent content by Sarishitz

  1. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

    CCM mliongozwa na ubabe na majungu na sio weledi wakati wa kuteua mgombea Urais haya sasa vuneni mlichopanda,mlitakiwa msome alama za nyakati pale tu mwenyekiti wa chama Mh.Jakaya Kikwete alipoingia ukumbini.Msishangae CCM ikafa kama KANU ya Kenya ilivokufa mlidharau ushauri wa mzee Kingunge...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Sijaskia watu wa Mtwara nao wamepokeaje kuhama kwa Lowassa, hali ikoje huko?

    Nape naye ajiandae kupigwa Mabomu kama walivokuwa wanapigwa UKAWA
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hali ya Pinda baada ya Uteuzi wa Magufuli kuwania Urais.

    Subirini muone ya uknguukawa mnadhani ni zamani enzi ya chama kimoja ebo.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Singida: Diwani wa kata ya Iseke ajiuzuru

    Hana msimamo keshahongwa na ccm huyo.
  5. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yajipenyeza Tabora, Yashinda kwa kishindo uchaguzi

    Masikini CCM jiandaeni kuachia dola 2015 na sisituwashughulikie kama mnavyotunyanyasa na vyombo vya dola.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hisia za wananchi wa Jimbo la Arusha (M), muda mfupi baada ya Lema kushinda rufaa

    Hongera sana jembe langu Lema nenda bungeni ukaendeleze mapambano.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete na Mnyika ndani ya nyumba uzinduzi wa Hospitali ya Sinza!

    Nafikiri ifike mahali watanzania tutangaze CCM ni janga la kitaifa na tuikatae kwenye ramani ya Tanzania.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa CHADEMA kuinyima CCM usingizi ni huu..

    siku zote mfa maji haachi kutapatapa.Cha msingi hapa sio hupoteza muda kwa kulumbana nao ila kuendelea kusambaza sera za CDM kwa wananchi, Viongozi wake wote wa juu waendelee kutangza sera kila kona.
  9. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni WikiLeaks ya TZ zaidi kuliko chama cha siasa?

    Kwa hiyo kwa mawazo yako unataka kutuaminisha CDM nini kuhusiana na mada yako!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Live Feeds: Kutoka mahakama Kuu ya Rufaa Kivukoni - Rufaa ya Lema, Dec 04, 2012

    Vipi lakini wewe unavoiona.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Live Feeds: Kutoka mahakama Kuu ya Rufaa Kivukoni - Rufaa ya Lema, Dec 04, 2012

    Jamani nipeni updates kutoka mahakamani.
Back
Top Bottom