Amewaruhusu wampeleke court kama wanao u hakika na supporting documents , tena ninyi CCM ndo wenye dola na mamlaka why mnaogopa kwenda mahakamani ili msaliti wenu aipate?
nahisi hata uwezo wao wa kufikiri mambo nishida na hivyo napatwa na wasiwasi na uwezo wa polisi wetu katika swala zima la upelelezi maana hata mtoto akiacha mpira wake barabarani kwa muda wa saa 3,ukimwambia ufuate atakataa na kukwambia ulishachukuliwa na watoto,
serikali tatu ni sahihi kabisa katika tanzania ya leo,taitizo langu ni moja tu,9 decembernchi mbili ziliungana na kuzaa nchi mpya ambayo haikuwepo awali nayo ni TANZANIA,nchi wanachama wa muungano huo ni TANGANYIKA na ZANZIBAR lakini leo mbona katiba inaitaja Tanzania bara hii ni nchi ya tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.