TBC ilikuwa ya Lowassa kwa kumbukumbu zangu, sasa baada ya Magamba kuondoka walitegemea nini kama si jua kali???? Angalia shule zao za sekondari zina hali gani wakati Rostam na Lowassa hawapo????? TBC-UKWELI NA UHAKIKA!!!
Sijajua lengo lako au pengine tumeishi kwa kudhani kuwa bila MAGAMBA tutakufa na jua kali. Jibu tumezoea kuonewa hivvyo tunge na tunaendelea kujipanga kwa 2015.
CHADEMA sisi tuko makini, hivyo CUF na wanamageuzi wengine tuachane nao. Ndugu yangu hapo umechemsha vibaya, jipange upya. Magamba kwanza maana bila wao inawezekana.
Nani kawaambia kung'ang'ania nchi yetu ambayo kila siku tunaimba wimbo wake wa taifa? Isitoshe wametufundisha wao kuuimba leo wanaona kama tunawasaliti!!!!!! HAPA NI CHADEMA TU MPAKA KIELEWEKE.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.