Kwanza inaonekana waganda wanaroho mbaya sn,huyo mwalimu anatakiwa achukuliwe hatua,na uchunguzi wa kujua km kweli yupo kisheria hp nchini,kwanza huyo mwalimu ni jinsia gani.
Ujue wengi wao huwa wanataka kutumia km mtoto ndio kigezo cha yeye kuolewa,kumbe ni ujinga tu mwanaume anaweza kukuzalisha na akakuacha bila ht wasiwasi.
Jamani nilidhani kwetu tu,nipo mbweni umeme ulikatika toka jana saa moja jioni wakaurudisha usiku nadhani kwenye mida ya saa saba au nane usiku,haya na leo asubuhi ndio imekuwa kamchezo unakatika na kurudi ht siwaelewi hawa tanesco.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.