Tunauza nguo za Mtumba Grade 1, Jumla na Rejareja

daddys dota

Member
Nov 21, 2014
66
4
Ndugu wadau tunauza nguo za mtumba kwa bei ya jumla pamoja na rejareja.Nguo tunazoziuza ni nguo za kike(nguo za wadada pamoja na wakina mama).Biashara hii tunaifanya online pia tunapatikana hapa Dar es salaam maeneo ya Savei-mwenge karibu na chuo kikuu cha Ardhi.

Bei zetu ni nzuri kabisa na ni bei poa.mfano magauni marefu tunauza shilingi 18000/=,magauni mafupi tunauza shilingi 15000/=,sketi shilingi 7000/= top 5000/= jumsuit 12000/= skinjeanz 15000/=.

Kwa wateja ambao wapo nje ya jiji la Dar es salaam tunawafikishia mzigo wao mahali walipo kwa kuwatumia kwa njia ya mabasi .Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0659965555 au 0766866683."WOTE MNAKARIBISHWA!!!!"
 
I might be wrong but picha za mitumba za nini? Ninavyoelewa mie nguo hizo hazirudiani yaani ziko moja moja na unaweza kuta kuwa mzigo mzima unafunguliwa hakuna kinachofanana. Sasa unataka akuwekee picha ngapi mpaka ufurahie bunda nzima la mitumba? Au quality utaiona kwa picha?
 
wapendwa wangu samahani sikuwatumia picha.lakini pia unaweza ukatembelea page yetu katika facebook kwa picha nyingi zaidi,asanteni
 

Attachments

 • C360_2014-12-21-17-39-15-336.jpg
  C360_2014-12-21-17-39-15-336.jpg
  311.9 KB · Views: 554
 • C360_2014-12-21-17-41-36-960.jpg
  C360_2014-12-21-17-41-36-960.jpg
  319.9 KB · Views: 548
 • C360_2014-12-21-17-44-09-885.jpg
  C360_2014-12-21-17-44-09-885.jpg
  302.8 KB · Views: 551
 • C360_2014-12-21-17-49-00-970.jpg
  C360_2014-12-21-17-49-00-970.jpg
  429 KB · Views: 737
 • C360_2014-12-21-17-51-59-751.jpg
  C360_2014-12-21-17-51-59-751.jpg
  337.1 KB · Views: 465
 • C360_2014-12-21-17-52-41-483.jpg
  C360_2014-12-21-17-52-41-483.jpg
  386.8 KB · Views: 549
 • C360_2014-12-21-17-55-26-660.jpg
  C360_2014-12-21-17-55-26-660.jpg
  378.1 KB · Views: 368
 • C360_2014-12-21-17-55-44-244.jpg
  C360_2014-12-21-17-55-44-244.jpg
  381.6 KB · Views: 424
 • C360_2014-12-21-17-58-30-283.jpg
  C360_2014-12-21-17-58-30-283.jpg
  373.2 KB · Views: 365
 • C360_2014-12-21-17-58-23-517.jpg
  C360_2014-12-21-17-58-23-517.jpg
  371 KB · Views: 378
 • C360_2014-12-21-18-03-01-008.jpg
  C360_2014-12-21-18-03-01-008.jpg
  269.2 KB · Views: 505
 • C360_2014-12-21-18-03-04-056.jpg
  C360_2014-12-21-18-03-04-056.jpg
  269.8 KB · Views: 438
 • C360_2014-12-21-18-05-11-721.jpg
  C360_2014-12-21-18-05-11-721.jpg
  359.1 KB · Views: 357
 • C360_2014-12-21-18-08-04-985.jpg
  C360_2014-12-21-18-08-04-985.jpg
  389.1 KB · Views: 447
 • C360_2014-12-21-18-08-08-057.jpg
  C360_2014-12-21-18-08-08-057.jpg
  363.9 KB · Views: 327
 • C360_2014-12-21-18-11-29-028.jpg
  C360_2014-12-21-18-11-29-028.jpg
  301.6 KB · Views: 426
 • C360_2014-12-21-18-14-04-659.jpg
  C360_2014-12-21-18-14-04-659.jpg
  331.6 KB · Views: 327
 • C360_2014-12-21-18-14-20-907.jpg
  C360_2014-12-21-18-14-20-907.jpg
  350.3 KB · Views: 366
 • C360_2014-12-21-18-16-21-844.jpg
  C360_2014-12-21-18-16-21-844.jpg
  294.6 KB · Views: 326
 • C360_2014-12-21-18-18-32-934.jpg
  C360_2014-12-21-18-18-32-934.jpg
  315.5 KB · Views: 394
 • C360_2014-12-21-18-18-42-252.jpg
  C360_2014-12-21-18-18-42-252.jpg
  318.2 KB · Views: 353
 • C360_2014-12-21-18-20-53-739.jpg
  C360_2014-12-21-18-20-53-739.jpg
  293.7 KB · Views: 490
 • C360_2014-12-21-18-24-16-140.jpg
  C360_2014-12-21-18-24-16-140.jpg
  308.7 KB · Views: 382
 • C360_2014-12-21-18-26-22-275.jpg
  C360_2014-12-21-18-26-22-275.jpg
  422.1 KB · Views: 331
 • C360_2014-12-21-18-28-56-275.jpg
  C360_2014-12-21-18-28-56-275.jpg
  318.9 KB · Views: 364
wapendwa wangu samahani sikuwatumia picha.lakini pia unaweza ukatembelea page yetu katika facebook kwa picha nyingi zaidi page yetu inaitwa "Mitumba Bomba",asanteni
 
wapendwa wangu samahani sikuwatumia picha.lakini pia unaweza ukatembelea page yetu katika facebook kwa picha nyingi zaidi page yetu inaitwa "Mitumba Bomba",asanteni
 
Naona ulibahatisha balo la nguo ndefu tu,hebu tuonyeshe na picha za gauni fupi bana.
 

 • Tunauza nguo za mitumba (COTTON MATERIALS GRADE A)kutoka UK kwa bei ya jumla pamoja na rejareja,nguo zetu ni nzuri kabisa na ni nguo za kike(wadada,wamama pamoja na nguo za watoto ).pia tunatoa huduma ya kuwasafirishia watu (wateja)waliopo mkoani kwa watakaohitaji nguo kwa ajili ya biashara.wote mnakaribishwa.
  kwa walewatakaochukua mzigo mkubwa watapatiwa punguzo la bei ya usafirishwaji wa mzigo.
  BEI YA REJA REJA
  Gauni ndefu sh 20,000 ; Gauni fupi 15,000;sketi sh 12,000;blouse 8,000-10000,skin tight 10,000;Jam suit 15,000,skin Jeans 15,000,
  nguo za watoto shiilngi 8,000-15,000
  kwa mawasiliano zaidi piga simu namba:0659965555 au 0766866683 Tupo Dar es salaam,Mwenge mtaa wa SURVEY DARAJANI​ 

 • Tunauza nguo za mitumba (COTTON MATERIALS GRADE A)kutoka UK kwa bei ya jumla pamoja na rejareja,nguo zetu ni nzuri kabisa na ni nguo za kike(wadada,wamama pamoja na nguo za watoto ).pia tunatoa huduma ya kuwasafirishia watu (wateja)waliopo mkoani kwa watakaohitaji nguo kwa ajili ya biashara.wote mnakaribishwa.
  kwa walewatakaochukua mzigo mkubwa watapatiwa punguzo la bei ya usafirishwaji wa mzigo.
  BEI YA REJA REJA
  Gauni ndefu sh 20,000 ; Gauni fupi 15,000;sketi sh 12,000;blouse 8,000-10000,skin tight 10,000;Jam suit 15,000,skin Jeans 15,000,
  nguo za watoto shiilngi 8,000-15,000
  kwa mawasiliano zaidi piga simu namba:0659965555 au 0766866683 Tupo Dar es salaam,Mwenge mtaa wa SURVEY DARAJANI​
bei ya jumla je?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom