Recent content by Sarah_Queen

  1. S

    JamiiForums Tanzania Awamu ya pili ujenzi reli ya kisasa kuzinduliwa Februari

    Jamani hizo picha za reli sio za mitandaoni? ni wapi hiyo reli inajengwa nikatembelee japo kusaidia mafundi?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naitwa Sarah, natafuta kazi ya kuuza duka

    Mtu wa tanga
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naitwa Sarah, natafuta kazi ya kuuza duka

    Sawa ninaku-pm
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naitwa Sarah, natafuta kazi ya kuuza duka

    Nikifundishwa kusimamia nitaelewa kama ni biashara mpya...uzoefu wangu ni wa duka la bidhaa za retail, jumla, ila hata la vipodozi naweza.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naitwa Sarah, natafuta kazi ya kuuza duka

    Sawa niko tayari.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naitwa Sarah, natafuta kazi ya kuuza duka

    duka la bidhaa za nyumbani / Retail shop
  7. S

    JamiiForums Tanzania Naitwa Sarah, natafuta kazi ya kuuza duka

    Hodi kaka na dada zangu, Naitwa Sarah, nina umri wa miaka 24, nina uzoefu wa Kazi ya duka la bidhaa za nyumbani / Retail shop. Mwenye nafasi au kama anafahamu mtu anayehitaji dada wa kazi ya dukani naomba aniPM. Nipo Dar.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Ontario nao wameshusha bei.

    Hahahaha
  9. S

    JamiiForums Tanzania Are spies made or born?

    du no
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mtanzania anayekubali maneno ya Trump yeye ndiyo Shithole

    Mh mi napita tu
Back
Top Bottom