Heys wana jf,ninatafuta nyumba chumba na sebule if possible na choo chngu kisiwe cha kushare kwa laki na 30 mpk laki na ishirini.au master bedroo kubwa yenye nafasi kwa laki maeneo ya sinza.mwenge. au hata magomeni.its urgent pliz
We women tunatofautana interets zetu kwa wanaume zetu na kila mwanamke anadesign yake ya mwanaume anaemuelewa zaidi ambae mwanaume uyo ukienda kwa mwanamke mwingne atakwambua hapana sijamuelewa so we are very very tofauti
Sorry guys mimi ni mwanafunzi ndo nimeanza chuo can some one help me with the elements of hard news stories pliz zikiwa well explained na mwenye sources pia anisaidie ili nitafute nipate uelewa zaidi pamoja na vitabu if anyone happens to know
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.