picha,za mtaa wa unguja jijini mwanza,hapa ni makazi ya watu,kuna shule za chekechea,msingi(mbugani) na secondari(thaqaafa) na hospital(usumau dispensary),
sheria zinavunjwa wazi wazi,kisha kuna baadhi ya vigogo wa jiji wanapozwa kwa kitu kidogo.huku wakazi wa mtaa na wapita njia wakiambulia...