Msafirishaji anapopewa leseni na LATRA hupewa masharti ya leseni, hii ni pamoja na kutobagua abiria. Serkali hutekeleza jukumu la kuwalinda watoa huduma, hii ndiyo sababu wasafirishaji wamepandishiwa nauli za watu wazima kutoka sh. 500 hadi sh. 600 - 1400 ili wasifanye kazi kwa hasara.
Kwa uhalisia inatekelezeka, kwa kuwa wanafunzi hupanda pamoja na watu wazima, tena huwapisha watu wazima katika viti iwapo gari lina abiria wengi. Cha muhimu kufahamu ni kuwa, LATRA inapopanga nauli za daladala huzingatia kuwa kuna watu wazima na kuna wanafunzi watakaotumia huduma hiyo, hivyo...
Wanafunzi hawasafiri bure, bali wamepangiwa nauli kwa kuzingatia uwezo wao, na kuwa watu wazima wanavyolipa nauli inafidia msafirishaji asipate hasara. Hivyo sio sahihi kwa msafirishaji kukataa kubeba wanafunzi.
Mimi naona bora tuseme tu ukweli, hawa latra naona wanajitahidi sana ukilinganisha na kero zilizopo katika sekta, nimeshapiga simu mara kadhaa na kupokelewa na hatua zikachukuliwa, nimeona wameweka hadi namba zao za mikoani na za viongozi katika intagram story yao ya latra_tz na wanajibu hadi...
Uko sahihi, kifaa kinauwezo wa kutoa taarifa za mambo mengi ikiwemo taarifa za gari kupinduka, kugongana au kwenda nje ya njia iliyoruhusiwa. Taarifa hiyo inamfikia mmiliki wa gari husika, LATRA na Polisi
Kwa hali hii Latra tunawaonea bure. Kuna baadhi ya madereva wa mabasi pia wanafanya michakato ya kugomea wasisajiliwe wala kuthibitishwa na latra, ili waendelee na uharamia wa kuhatarisha maisha ya watanzania bila kuadhibiwa.
Kwa uhalisia mfumo huu haujafeli, ila mifumo yote iwe ya serikali au binafsi hutokea kupata hitilafu za mara chache. Kwa sababu hizo ndomana wataalamu wa TEHAMA wapo kwa kila mfumo na wanatatua tatizo linapotokea.
Kwa mfano huu mfumo wa LATRA kwa sasa tunautumia na unafanya kazi vzr tu.
Lakini...
Katika mjadala huu ni vzr pia kujua majukumu ya taasisi hizi: TEMESA, TASAC ambayo ni Shirika jipya la Wakala wa Meli na SUMATRA ambayo kwa sasa inadhibiti usafiri wa nchi kavu pekee
Taarifa hii ni ya Uongo, tembelea tovuti ya www.sumatra.go.tz au kurasa ya facebook au twitter ya SUMATRA, walishakanusha tangu April 2018.
Kuhusu kutokuwa na nauli mpya tangu 2013 ni sahihi kabisa kuwa bei za ukomo zilizotolewa tangu mwaka huo hazijapanda.
Hii ni kwa kuwa vigezo vilivyotumika...
Jibu la awali limejitosheleza kujibu hoja yako. Kwa sasa naona umehamia ktk kutopewa nafasi ya kujieleza baada ya kuona ulichodai awali ni uongo mtupu wenye lengo la kupotosha.
Wataalam wa SUMATRA wanafanya kazi kwa utaratibu. Gari husimamishwa na Askari wa Usalama Barabarani mwenye SARE (Afisa...
SUMATRA hufanya kazi zake kwa kuzingatia uweledi. Miongoni mwa wafanyakazi wa SUMATRA ni wahandisi wa mitambo na ujenzi katika sekta ya reli, wahandisi wa mitambo na wataalamu wa udhibiti, usimamizi, ukaguzi na uendeshaji katika sekta ya usafiri wa Barabara.
Aidha kuna wanasheria, wachumi na...
Hi wana jukwaa, hivi maeneo kama Kivukoni, Bungeni n.k ambapo wamepiga marufuku kupiga picha ni kwa sababu gani? Na sometimes akipiga mzungu wanamuacha hawamsumbui kama mtz. Natanguliza shukrani kwa majibu mazuri
Hi wana jukwaa, hivi maeneo kama Kivukoni n.k ambapo wamepiga marufuku kupiga picha ni kwa sababu gani? Na sometimes akipiga mzungu wanamuacha hawamsumbui kama mtz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.