Ni wa kati gani Rais wa nchi anakuwa sio Rais? Tatizo hapa sio ahadi, tatizo ni mtu anatukana wagombea wenzake tena kwa kuwataja kwa majina. Lissu kwenye jambo hili yupo guilty kabisa na ndio maana anajishuku. Mbona wenzake hawajapanic????
Yeye anadhani anaweza kuitisha Tume kwa kauli zake za...
Tundu Lissu ni mtu hatari sana, muongo, fatani na mzandiki mkubwa. Huyu jamaa anasema hata Maadili ya Uchaguzi vyama havijashirikishwa kuyaandaa? Sisi tunafahamu kwamba yeye alikuwa Ulaya wakati Uchaguzi unaandaliwa, hajui lolote, yani amerudi tu kuchukua nchi, kama mdodo chini ya mnazi. Yani...
Tume haiwezi na haitafanya kazi kwa mashinikizo. Kile ni chombo cha kuheshimika kwenye Taifa letu na kazi zake zipo kwa mujibu wa katiba na Sheria kwa hiyo watakapokamilisha watatoa taarifa, hizo harakaharaka zenu ndio zimewasababisha mkosee kujaza fomu na sasa mnatafuta mchawi.
Huu utaratibu wa kuwaengua wagombea kwa makosa yakiwemo ya kujaza fomu ni utaratibu wa siku nyingi na unakubalika miongoni mwa wadau wakiwemo hao wagombea unaowasema wewe na ndio maana pingamizi la Mgombea wa CHADEMA dhidi ya wagombea wa CCM na CUF kwenye ngazi ya Kiti cha Rais liliwekwa.
Na...
Nimekuwa nikifuatilia jinsi Tume ya Taifa ya Uchaguzi-NEC inavyoendesha mambo yake kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020 na kiukweli nashawishika kwamba hii Tume ni huru ila tatizo pengine ni wanasiasa wasiokubali kukiri kwamba wanashindwa kwenye chaguzi.
Hata sasa naona NEC inafanya vizuri...
Hii Tume sasa imekuwa kama punching bag, yani kila anayeibuka huko anapiga ngumi. Wengine hata hawajui kwanini wanafanya hivyo. Yani anajikuta tu ameasharusha ngumi. Ila cha msingi hapa watu waache kulialia, Tume ni ile ile iliyowatawaza wapinzani waliokuwapo kwenye Bunge lililopita kwa wingi na...
Kwa hiyo nyie wapinzani mmeona njia pekee ya kufanya siasa ni kupotosha tu? Mnyika ameonekana kupitia vyombo mbalimbali vya habari akichangia maoni yake kwenye rasimu hiyo kwenye kikao kilichoitishwa na Tume kwa ajili ya vyama vya siasa kujadili na kupitisha rasimu. Sasa leo hii mnasema vyama...
Ibara ya 74 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 inatamka kwamba,
“Kutakuwa na Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano ambayo itakuwa na wajumbe wafuatao watakaoteuliwa na Rais:
(a) Jaji wa Mahakama Kuu au Jaji wa Mahakama ya Rufani, ambaye atakuwa mwenyekiti;
(b)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.