Recent content by Sanja one

  1. S

    SoC01 Wafugaji watazamwe kwa jicho la pekee dhidi ya ukatili wa wasichana

    Wafugaji ni kundi muhimu sana katika Duniani hii, bila wao hatupati nyama,maziwa,ngozi na mboleya ya samadi. Kwa Tanzania makabila ambayo ni maarufu kwa ufugaji ni Wasukuma,wamasai,wataturu nk lengo langu siyo kuwachafua wafugaji ila nataka jamii ifahamu kuwa kuna baadhi ya wafugaji hawajali...
  2. S

    Hali ya mwanza na wamachinga

    Ni kweli kuna tatizo ila hii yote ni kwa sababu ya kutokuwa na viongozi wanaojali kesho ya wengine badala yake wao wanatazama leo yao tu.
  3. S

    SoC01 Nikiupata Ukuu wa Wilaya nitafanya yafuatayo…

    Hapana ntajitahidi sana kutekeleza
  4. S

    SoC01 Nikiupata Ukuu wa Wilaya nitafanya yafuatayo…

    Hakika lazima nikusaidie, kwanza hongera sana kwa kujishughulisha na hiyo biashara yako. Na kitakachofanyika ni kukuongezea mtaji na mafunzo ili ufanye biashara hiyohiyo ila kwa ukubwa nauhakika utaajiri watu na utalipa Kodi.
  5. S

    SoC01 Nikiupata Ukuu wa Wilaya nitafanya yafuatayo…

    Mkuu wa wilaya ni kiongozi mkuu wa serikali katika wilaya na jukumu lake la kiutawala ni kuhakikisha mifumo ya utawala katika eneo lake inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi.Kiongozi huyu huteuliwa na Rais na ndiye mwakilishi wa Rais katika wilaya. Baadhi ya majukumu yake ni; kusimamia shughuli...
  6. S

    Makampuni ya Mawasiliano tunaomba mzindue huduma ya kubadili vocha kuwa muamala wa pesa

    Hoja yangu hapa ni kutaka kuwepo na mfumo matika simu utakaomuwezesha mtumiaji wa simu aliyeko katika eneo ambalo halina wakala wa huduma za kifefha aweze kununua vocha na kuzibadili kuwa M pesa,Airtellmoney,Tigopesa n.k na hivyo kumtumia mtu anayehitaji. Mfano Umeenda kijijini kwa shuguli zako...
  7. S

    Ni lini TAMISEMI itaweka hadharani Orodha ya majina ya Walimu waliopangwa Vituo vya Kazi?

    Vumilia kidogo tu kabla ya tarehe 1-12-2020 yatatanganzwa
Back
Top Bottom