Recent content by Sanity

  1. Sanity

    JamiiForums Tanzania Simba yashikwa sharubu bila kufurukuta na African Lyon, yalala kwa goli moja Uhuru Nov 6, 2016

    uwiiiiiiiiiiiiiiiii[emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
  2. Sanity

    JamiiForums Tanzania Anaemnunulia huyu baba suit over size Mungu anamuona

    nahisi wanaogopa hata kumpima hataki mazoea/hazoeleki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  3. Sanity

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaamini uwepo wa Mungu mpaka wakati huu??

    Mpumbavu amesema moyoni, hakuna Mungu. Zaburi 14:1
  4. Sanity

    JamiiForums Tanzania Kwanini humpendi

    mi nachukia sana chama cha madili ukweli hakipo rohoni mwangu kabisaaaa!
  5. Sanity

    JamiiForums Tanzania Kwanini humpendi

    Mleta hoja ana elements za uchochezi swali kwanini umchukie mtu ambae hujamuumba?
  6. Sanity

    JamiiForums Tanzania Dada yangu ananitaka kimapenzi

    marekebisho ni kijana Yusuph kwa mke wa Potifa wala si Daudi mkuu.
  7. Sanity

    JamiiForums Tanzania Kuanzia kesho hadi kiama sitonunua tena haya Magazeti yafuatayo

    cjui alikuwa amekusudia nini ukilifafanua zaidi hilo swali majibu yake ni mengi kuliko swali lenyewe ni shida tupu ..!
  8. Sanity

    JamiiForums Tanzania Kuanzia kesho hadi kiama sitonunua tena haya Magazeti yafuatayo

    dah! hii nchi cjui ina viumbe wa aina gani mhuuuu!
  9. Sanity

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema hatapelekwa Mahakamani siku ya leo; tutazidi kuwajuza

    ? ????? we ni mlumumba eeeh? hukosi kuwa .
  10. Sanity

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema hatapelekwa Mahakamani siku ya leo; tutazidi kuwajuza

    Mungu anaona? hebu usimhusishe Mungu kwa chuki zisizo na maana.
  11. Sanity

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe ameongozwa na chuki dhidi ya rais Magufuli na Serikali yake

    kweli we ni KADA!
  12. Sanity

    JamiiForums Tanzania Kuna ufisadi wa kutisha kwenye serikali ya Rais Magufuli?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  13. Sanity

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu, imetoa hati ya kukamtwa kwa Tundu Lissu kutokana na kukiuka masharti

    utanufaika na nini kwa mfano? au unamdai yaani nyie kijani kibichi mpaka Mungu alie waumba anawashangaa kwa akiri mlizonazo kwa hili taifa.
  14. Sanity

    JamiiForums Tanzania Nina kijana mdogo ameathirika naishi nae, anagegeda sana vibinti vya watu, nimsaidiaje?

    anao wagawia nao wanagawa jamani kuweni na huruma mtakuja gawia na ndugu zenu ooooohoooo!
Back
Top Bottom