Nimekuwa nikifuatila kwa karibu matokeo ya uchaguzi hasa kwa ngazi za udiwani kwa baadhi ya majimbo ambayo umoja wa ukawa umefanikiwa kupata madiwani ambapo hadi sasa idadi imeongezeka maradufu kulinganisha na miaka ya nyuma .
Mfano Arusha mjini CHADEMA madiwani 25 CCM 1, Arumeru 25 , CCM 1 ...
Tumeshuhudia bunge likitunga sheria juu ya matumizi ya mitandao katika kipengele cha mtuma message na mpokeaji message .
Jana nimetumiwa sms mbili zisizo na sender address ila zinajina la mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini CCM Mwakalebela zikisema chagua Mwakalebela kwa maendeleo ya jimbo...
Hali imezidi kuwa ndivyo sivyo kwa Mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini Bw. F.mwikalebela (CCM) baada ya kuandaa tamasha la Muziki katika viwanja vya Chuo cha Kleruu. Inasemekana ndo ilikuwa karata yake ya mwisho ya kujaribu kupata watu watakao guswa kumchagua lakini hali ilikuwa ndivyo sivyo...
Jana katika jimbo la Iringa mjini tulikuwa mdahalo wa wagombea ubunge toka vyama vya CCM , Chadema, ACT na ADC ambao uliishia kwa vurugu na kelele tu zisizo na msingi.
Wagombe kiti cha ubunge wa jimbo hilo ulihusisha mbunge anaetetea kiti chake Bw Peter Msigwa(Chadema), Fredrick...
mbona uzinzi hajanza jana wala juzi tanguakiwa padre, Rose Kamili mbona alikuwa nae hata kabla ya kuwa padre.. ndo maana alijipima akaona afiti kuchunga kondoo wa Bwana Yesu na kuachia ngazi ya upadre
Kwa wote wanaofuatilia mchakato mzima wa uchaguzi kwa umakini watakuwashaelewa nini namaanisha. Tukianza na uchukuaji na urudishwaji wa fomu za uraisi, CCM walianza kwa umauti mkubwa na kusema Mh J Magufuri kaweka rekodi lakini siku ya kuchukua fomu Mh Lowassa habari za Mh Pombe Magufuri...
Mh kaka hizi mbona picha za zamani tena mwaka jana mwezi wa 12 kipindi cha chaguzi ndogo za kiti za ubunge. Kalenga kwasasa hakuna hali ya ukijani kibichi mwezi wa 7 na 8.uwoooooongoooooooo
Lowassa ni mtu wa vitendo haitaji porojo nyingi, Vitendo na uwezo kupambana na matitizo ya watanzania ahuhitaji maneno mengi... Watu wanampemda kwa kuwa mtu wa vitendo na si maneno:dance::dance::dance:hizi hana
huu utumbo unaotabiri ushawahifanywa na sheikh yahaya mwaka 2010, pale aliposema atakaegombea kumpinga Rais Kikwete atakufa baada ya uchaguzi matokeop yake kafa yeye naaliowatabiria vifo bado wanadunda tu kwa uwezo wa Mungu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.