Kwa wote wanaofuatilia mchakato mzima wa uchaguzi kwa umakini watakuwashaelewa nini namaanisha. Tukianza na uchukuaji na urudishwaji wa fomu za uraisi, CCM walianza kwa umauti mkubwa na kusema Mh J Magufuri kaweka rekodi lakini siku ya kuchukua fomu Mh Lowassa habari za Mh Pombe Magufuri zilizima kabisa na habari ya mjini , kwenye mitandao na magazeti ilikuwa ni Lowassa tu.
Siku ya kusaka wadhamini Mh Magufuri alikuwa kashaanza saulika kwa Mh Lowasa alikuwa Hot kiasi kwamba kama CCM hawana mgombe vile, na ndo neno Mafuriko likaanza tumika kuanzia Mbeya, Arusha, na Mwanza.
Siku ya kuanza Kampeni Mh Magufuri alianza kwa mbwembwe za kuweka rekodi ya kujaza watu wengi jangwani lakini Umati huo kiukweli ulivuta watu kwa ujio wa wasanii wakubwa Tanzania kwa Diamond , Ali kiba , Ya moto band kwa kuwa kulikuwa na shoo kali kwa kiingilio cha miguu yako. Na umati ule CCM waliuita ni Mafuriko.
Lakini ujio wa Mh Lowassa nao katika Uwanja huohuo wa jangwani mambo yalibadilika na kuwa gharika au Tsunami.
Mh magufuri ameshapita katika Mikoa mitano ambayo ni Rukwa , katavi , Mbeya , njombe na Ruvuma lakini habari zake zishasaulika baada ya Lowasa kupita mikoa miwili. Nipo Njombe kwasasa na jumamosi Mh Magufuri alikuwa hapa Ujio wa Lowassa umefuta kumbukumbu za ujio wa Magufuri Ndani Njombe pia upepo umezidi kuwa mbaya hata kwa mgombea wa CCM Bw Mwalongo aka Kapi la Makinda.
Hadi wakati huu bado sijaona wapi kuna ngome ya Magufuri na CCM kiujumla kwani kila sehemu ni Lowassa, Mh Kikwete nae kasha soma alama za nyakati na kumtelekeza Mh Magufuri anae zunguka kama mkiwa. Pole sana CCM , Malofa wanazidi pendwa na ulofa wao.