Recent content by Sangu Jr

  1. Sangu Jr

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Riba ya mkopo asilimia ngapi? Makato mengineyo ada na bima kiasi gani?
  2. Sangu Jr

    Semina za fedha

    Habari watafutaji wa jukwaa naomba kufahamu kama kuna mtu anafahamu taasisi au kampuni inayohusika katika kutoa semina za mafunzo kazini za wafanyakazi wa ma bank kama, tellers, wahasibu, mapokezi, ma afisa mikopo n.k. Iko moja naifahamu inaitwa AFFLUENCE TRAINING LTD na nimeshiriki semina zao...
  3. Sangu Jr

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    ni sahh usikubar kutawaliwa na mtu toka chama kingine!
  4. Sangu Jr

    Goli la mkono limetimia, CCM wana akili sana

    ikumbukwe mi sio mwanachama wa chama chochote tanzania,siasa za maji taka zitawaua.
  5. Sangu Jr

    Goli la mkono limetimia, CCM wana akili sana

    hapa hatushindani kwa matusi hoja na fikra ndio msingi wa maendeleo
  6. Sangu Jr

    Goli la mkono limetimia, CCM wana akili sana

    siasa mchezo wa akili sana hauitaji pupa UKAWA ni sawa na samaki alie lushiwa chambo bila kufikilia akakidaka. tusubiri matokeo.
  7. Sangu Jr

    Goli la mkono limetimia, CCM wana akili sana

    Sitaki kuamini kwamba tayari UKAWA wamezidiwa kete na CCM, Upinzani hasa katika mgombea urais umekufa kabisa, watanzania ni lahisi sana kudanganywa nionavyo mwaka huu CCM itakua na wagombea wawili wanaoshindana kuwania kiti kimoja, kivuli cha LOWASSA ndani ya chadema ndio kinachowavuluga...
  8. Sangu Jr

    Polisi Dodoma yamsafisha mtuhumiwa fedha za rushwa

    exhibit hakuna,shahidi hamna nani ashitakiwe? ila nazao milioni722?
  9. Sangu Jr

    Tetesi: Dr Wilbrod Peter Slaa Kupeperusha Bendera Ya UKAWA!

    lipumba wewe huyo jamaa kasha jichokea mwacheni apumzikeee!
  10. Sangu Jr

    Uhaba wa Mafuta ya petroli, Serikali imekanusha kuwa kuhusu mgomo

    kwa taarifa ilivyo mabosi hawaagizi mzigo tena wanajitahidi watumie strock iliyopo hadi uchaguzi upite wakiofia uchaguzi ukiwa wa vurugu hupoteza mali nyng hii ndio sababu ya mafuta kupanda bei na shulingi kushuka kwasababu kwasasa pesa waziweka ndani hawanunui mzigo .
Back
Top Bottom