Recent content by sangija

  1. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    HUku Mkoa wa Geita,Katoro kuna mitaa 17,Chadema imeshinda mitaa 16 na ccm mtaa mmoja tu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ni haki mpenzi/mke wako kukusalimia shikamoo?!

    mmmh! haya bwana!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tanganyika imerudi

    Ndiyo,irudi haraka sana
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Charminglady afiwa na Kaka yake "Mwaka Mmoja Tangia Afariki"

    Pole kwa yote.kuwa imara na ukumbuke kua sisi 2mavumbi na mavumbini tutarudi!!
  5. S

    JamiiForums Tanzania M4C yashika kasi Geita

    ww ushatoka Geita,sisi tupo hadi mda huu,tunajua na tunayaona yanayotokea.uchaguzi ulopita yaan 2010,matokeo yalichakachuliwa walio wengi tunajua! ukweli watu washaamka sana c kama usemavyo!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Abubakhari wa Kemondo Mwanza akamatwa na jeshi la polisi kwa kutoa elimu ya uraia

    Kma wewe ni mwenyeji Mwanza na umekuwepo toka miaka 5 iliyopita,Kemondo ni pale ilipokuwa stand ya daladaala za kwenda Igombe! nadhan umeelewa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Comments zako humu ndani ndizo zimesababisha nikumwage!!!!!

    Ucjali mkuu tuko pamoja kabisa.Mwanamke ama bint lazima kwa kias flan afuate mme atakacho,la sivyo,kumwagwa ni nje nje! tatizo hum baadhi ya watu wanachangia kwa ushabiki.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Comments zako humu ndani ndizo zimesababisha nikumwage!!!!!

    Je kuchangia kama alivyokatazwa si matendo??
  9. S

    JamiiForums Tanzania Comments zako humu ndani ndizo zimesababisha nikumwage!!!!!

    sidhani kama yeye anamatatizo,na nivizuri kuuheshimu uamzi na mpango wake mzima wa maisha.Wangapi wanachumbia mabinti wakiwa kwao,na wkt wa uchumba hukataza baadhi ya tabia toka kwa bint kwamba wao hawazitaki?? na kweli bint anatii na maisha yanasonga na hatimae wanaowana?? kipendacho moyo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnaweza kujiuliza hili!

    Achen kupotosha,hebu sema chimbuko la jamii yako ni wapi halaf ifuatiliwe ka undan mila na desturi ili kuhakiki kama hizo nguo ndo maadili mema ya jamii kwa ujumla!! Utamfundisha nini mwanao unaetegemea awe kioo cha jamii in future?? Mambo mengine ni ulimbukeni tu!!! Kuiga vitu visivyo vya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri na mawazo yenu ni muhimu hapa

    Je wakati mnaaanza mahusiano ulimpa msimamo wako kuwa huhitaj ajiingize kwenye mitandao ya kijamii kama hio?? na kama ndio bas ujue hana utii wala heshima kwako na kama utaendelea kulazmisha utakuja umia zaidi huko mbeleni!! Heri nusu shali kaka kuliko...........Kama hukumpa mashart hayo toka...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

    Ni kweli kabisa,kama ndo hao bora wanyamaze,wakubali yaishe walizike na huduma wapatayo ndani na nje ya nyumba toka kwa wake zao!! Binafsi ziwez thubut kuomba kulelewa na mke,bora nirudi shamba nkalime!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

    Ndg yangu uloeleza yanatosha,achana na wengine wanashabikia tu bila uhalisia,pengine wanaogopa kukusupport maana wake zao wapo humu na akithubutu patachimbika makwao!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

    Labda kwa mtazamo wangu naweza sema suala la uchumi wa kuchangia ndo linawavimbisha vichwa hao wenzetu.Mwanamke akiona mnaendesha familia pamoja ie.kujenga nyumba nae akichangia,kununua gari,shamba au kusomesha watoto pamoja anakuwa na kiburi flan kuwa mpo sawa.Hapo hapo inampa mme hali ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

    Ni kweli uloyasema,ni bora wakazingatia na wakachukua hatua,yaan kujirekebisha! Wengi tunajua umeamua kujitoa mhanga kueleza ukweli ambao wengi umewashinda.Ndo maana mashambuliz kama unavyojionea hapa.
Back
Top Bottom