Ooooh ohhh mtoa maada naona umejawa na hofu Sana hasa ya Nini kitatokea endapo CDM hawatashiriki uchaguzi,,,,,,,,,
Pili huoni athari yeyote kwa nchi hasa vijana Hawa watakao kuja kuwa taifa la Tanzania siku zijazo..
Historia mbona inafundisha mengi Sana.....mfano ;chanzo cha mapinduzi ya...
Katika football lolote linawezekana... Liverpoool kuna wakati alipigwa 3~0 first half lakini akawa bingwa wa uefa na ilikuwa liver mbovu sana maana ligi ya kwo walimaliza nafasi ya sita akiwa hana sifa ya kucheza uefa msimu unaofata.... Kuna waka barceleno walifungwa 5~0 na psg lakini walipindua...
Alikuwa mbumge kupitia chadema ...baadae akaunga mkono jitihada za mwendazake raisi akazadiwa unaibu waziri yeye na wenzake..siwataji so full kujikomba ndo serikali tulionayo hakuna weledi ukijikomba unapewa cheo
Kwa ufupi tu...samora macheli aliwahi kumuaga mkewe Graca macheli kuwa yeye [samora] anaweza poteza maisha hivyo akamwambia nikifa uende kwa mandela naamini mandela atakuwa raisi wa RSA...hivyo baada ya samora kutunguliwa graca alikuwa mjane na mandela akawa raisi hivyo unabii ukatimia...
katiba ya jmt haina wizara wala vipengele vyakd ila inamtaka raisi kuteua waziri mkuu na mawaziri na kuunda baraza .lakini katiba haijasema wizara ziweje ndio maana kila raisi anaunda wizara zake na kuzichanganya anavotaka. So cheo cha naibu waziri ama naibu waziri mkuu havipo kikatiba na ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.