ninavokutazama moyoni unataman aachane na mkewe uolewe ! mapenzi yanakasumba ya kufisha utashi na nafs ya utambuz na hivo kwa sababu anakuridhisha unaona ndo chaguo lako napenda kuvunja mipaka yako na kutoheshm hca zako kukwambia kwamba aina hii ya mahusiano ni utumwa kwako kwan unatakiwa...
ukweli ni kwamba kumzooea mchumba wako kupita kias utadhan kesha kuwa mmeo c jambo la busara lazma utofautishe mme na mchumba; uckatishwe tamaaa na waliyokwisha kata tamaaa tunza thaman ya utu wako ili uonekane mpya kila cku kwa mtarajiwa wako ijapokuwa kila mtu ana mtazamo wake ila kwa kiac hii...
hii ni mbaya sana na kimcngi c hii moja zipo nyingi watanzania tuwe macho kujua haki zetu na wajibu wa polic c jambo jema mwana usalama kusababisha kifo cha makusudi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.