Recent content by sandakarawe

  1. S

    Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

    Kwanini watu wasibeze uteuzi huo? katika nchi ambayo population kubwa ni ya wakristo unateua maDC 27 wapya na 21 kati yao ni waislaam na wakristo 6 tuu,mtakuja kujuta na huu UBAGUZI wenu wa kiislam siku moja.
  2. S

    Mbowe kung'olewa Hai na mwenyekiti wa UVCCM Arusha Mjini

    Hai ni nyumbani kwetu,najua vema msimamo wa wanaHai,katika majimbo ya mwanzo kabisa kwa upinzani ni Hai na Siha,wakati ule mzee Mwinyihamis Mushi wa NCCR Mageuzi na Makindara Elias Mosi Siha,huyo Munisi wa CCM ni mbwiga wa wapi?kwanza kule Hai viongozi hufuata koo huo ukoo wa Munisi ni wachunga...
  3. S

    Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa wana tuhuma nzito za ufisadi wa Website ya CHADEMA

    Kwa sisi tunaomjua vena Freeman Mbowe hiyo pesa ndogo sana kumsumbua Mbowe,nenda ukabuni mbinu mpya,kama una uchungu sana na hizo za CHADEMA si ungefichua na ukwasi wa babu zako wa ESCROW?
  4. S

    CCM yaamua kumng`oa Selasini jimbo la Rombo

    Siasa zenu za Rombo mnazifanya global?nani asiyejua kwamba Rombo ni jangwani?Selasini ataleta maji Rombo ana Serikali?bado utafiti uliofanya umeokota maneno vijiji viwili unakuja kutuambia hapa jf?wewe umetoka wapi mshamba na mmbea hivyo?jipange.
  5. S

    Kwanini Wananchi walimkataa na watamkataa Slaa

    Nani kakutuma kumchafua slaa?kwa akili yako nani wa cc unaona anafaa?hivi unaweza kuuona udini ulivyotawala uteuzi na ajira za utawala awamu ya nne? Hivi wenzenu wakiamua kufanya kama mnavyofanya kwenye hii nchi wengine mtapona?
Back
Top Bottom