Ni mtu hatari na hakuwa huru kama unavyodai na Ndiyo maana alifungwa pingu. Tunazo haki zetu kweli, lakini si kutoroka chini ya ulinzi. Na kwa vile Kamanda amesema wapo waliofikishwa mahakamani, ukweli halisi utadhihiri
Sikiliza bro. Mbinu za vita zinapatikana ktk uwanja wa mapambano tena wakati wa mapigano. Waheshimiwa uliowataja ni tofauti na huyo marehemu ktk nature ya kosa na hasa public interest. Polisi wamewajibika ipasavyo, na si vinginevyo
Ehheee! Kama nimesoma vizuri Kamanda amesema aliwafanyia wenzake fujo humo mahabusu, hakusema aliwapiga. Sasa kama walikuwa zaidi ya watano walipompiga, sidhani waliangalia ni sehemu zipi za kupiga. Mungu aiweke roho yake peponi
Ila kiukweli polisi wanapiga kazi hasa inapotokea hali inayotishia amani kwa raia. Wote mmekwenda shule na mnafahamu nini utafiti. Na binafsi naamini wote waliosalia watakamatwa ila tu wasijaribu kutoroka. Au wajisalimishe na mabomu yao haramu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.