Huwez jua kitanda hakizai haramu, familia zetu za Kiafrica kwenye watoto 10 wa baba mwenyew wanaweza kuwa 3, wengine amesaidiwa ila cha msingi KIZAZI CHA DHAHABU HAKITOKEI MARA KWA INAWEZA KUCHUKUA HATA MIAKA MUA MBILI IJAO
Cha kuelewa hapo ni kuwa Golden Generation hutokea kila baada ya miaka mingi inaweza kuanzia hata kila baada ya miaka 100, madkongoro yupo within ya miaka 100 ya mwl that's why he was useless
Habari zenyu bandugu wadanganyika?
Poleni na michakato na harakati za maisha ya kila hususan katika kipindi hiki cha harakati za uchaguzi mkuu wa madiwani wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Hiki ni kipindi ambacho angalau kuna kamzunguko kidogo wa fedha kuelekea uchumi wa kati ambapo...
Kuna makabila mengine hayapo duniani kwa lengo la kutawala, kuongoza na kushika nyadhifa za juu kiutendaji Mfano ni kabila na kiongozi wa mhimili wa bunge na mhimili mkuu, na ndio mana hata katika uumbajj mungu Alliumba wanyama kama pundamilia, swala na nyumbu wakawa wengi kuliko Chui na Simba...
NI UAMUZI SAHIHI KAMA SEHEMU ZOTE ZA HII JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BINAFSI NIPONGEZE JUHUDI ZA WANANCHI WANAOCHUKIA UNYANYASAJI NA UKANDAMIZAJI NA ENDAPO WANANCHI KATIKA MAENEO YOTE YA WANANCHI WANGEKUWA NA UJASIRI KAMA HUU, USHAMBA WA WATAWALA WA AWAMU YA TANO UNGEPATA DAWA...…..SAFI...
Ni sahihi sana kwa uamuzi waliochukua, Hii nchi ilipofikia kuna mifala inajiona kama ya mama zao, time will come wacha washamba watambe kwa sasa their days are numbered! wanafanya mambo ya kipumbaavu sana!
Kwa hyo tuendelee kuzika watoto wadogo wakiwa hai kwa kuwa ni mikosi haiwezekani mwanamke ambae alishazaa watoto Zaidi ya saba kwa njia ya kawaida ikatokea wa 8 ajifungue kwa operation?
Anyway Sikujua kama naharibu mtiririko wako wa Mada ijayo, But mimi na wewe tunasoma na kufuatilia hzo taarifa unless otherwise uwe hukunielewa nilichomaanisha, mimi sikusema kuwa KWA SASA WAPO binaadamu wanaoishi kwenye sayari nyingine ila wamarekani wako katika mchakato wa mwisho kuelekea huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.