Recent content by Samwely kisinga

  1. S

    Ya kina makamba,nape na raisi anayeishi mabandani kwenye nyumba ya mama yake.

    Ya kina makamba,nape na Raisi anayeishi mabandani kwenye nyumba ya mamaake. Mwandishi na mbabe wa makala luqman maloto aliwai kuandika kuwa kesho imekaa kichawi Sana.Nyakati zile nasoma andiko lake sikukubaliana na hoja zake ,lakini leo namuunga mkono ni kweli kesho imekaa kichawi Sana,na si...
  2. S

    Kwanini tunapigana na kuanzisha vita ambayo tunajua hatutashinda? Kwanini tunalipa ubaya kwa wema?

    KWANINI TUNAPIGANA NA KUANZISHA VITA AMBAYO TUNAJUA HATUTASHINDA? KWANINI TUNALIPA UBAYA KWA WEMA. Kwa matokeo yalivyo hadi sasa hakuna dalili yeyote ya sisi kushinda hii vita,vita ambayo haikuwa na ulazima wowote ule wa kuianzisha,vita ambayo inazidisha umaskini wetu na kufanya maisha yawe...
  3. S

    Haiwezekani utende unguruwe,alafu uachwe tu hivi hivi.

    Haiwezekani utende unguruwe,alafu uachwe tu hivi hivi. Ukiishi kama nguruwe asiyetahiriwa lazima ulipe.Namaanisha haiwezekani utende unguruwe alafu uachwe tu hivi hivi.Kwa ubaya wowote unaotenda lazima uadhibiwe.Utaadhibiwa na yule uliyemtendea ubaya,ikiwa yeye atashindwa basi jamii...
  4. S

    Tishio la uhai wetu

    Tishio la uhai wetu na sheria yetu ya mazingira. Ally buyuknohutcu pamoja na mkewe aysin ni miongoni mwa wanaharakati 207 waliouwawa kikatili kama nguruwe mwaka 2017.Kosa lao kubwa lililopelekea kufanyiwa unyama huo ni Harakati zao za kutetea uhifadhi wa mazingira na kuhakikisha dunia inakuwa...
  5. S

    Unaanzaje kumshangaa amber rutty

    Unaanzaje kumshangaa amber rutty?. Mara baada ya kuachia video yake yakifirauni ,Gafla amber rutty alikuwa maarufu.Blog na online tv zilimsaka kama dhahabu.Wasiomjua walianza kumgoogle hili wamjue vizuri.Mwenyewe anasema hata dau lake la kwenye shoo lilipanda zaidi ya mara tatu. Umaarufu...
  6. S

    Ya diamond kwa Tiffah,Nyerere kwa watanzania na laana ya yajayo yasiyofurahisha

    YA DIAMOND KWA TIFFAH ,NYERERE KWA WATANZANIA,NA LAANA YA YAJAYO YASIYOFURAHISHA. Mwanangu anaumwa sana,Naumia sana Kwa ajili Yake.Natamani ningeumwa Mimi yeye apone,_Kauli hii ni ya rafiki yangu kipenzi Wilfred,nilipoenda kumjulia hali mwanae ambae ni mgonjwa Kwa wiki tatu sasa.Kauli...
  7. S

    Akili za darasani na akili za mtaani

    Akili Za Darasani Na Akili Za Mtaani. Wewe Mimi uniwezi,Pamoja na kuwa una Elimu ya chuo kikuu,ila mtaani wewe ni darasa la kwanza.- Ni maneno ya Rafiki yangu Hamisi.Namuuliza anamaana gani?,ananijibu,wewe una Elimu lakini hauna akili.Duuh,anazidi kunichanganya zaidi,namuuliza kivipi? Kwa...
  8. S

    Jinsi miti inavyokausha mto ruvuma

    JINSI MITI INAVYOKAUSHA MTO RUVUMA. Jumamosi hii imekuwa ngumu sana kwangu.Nimepata shida sana kuwaeleza na wakaelewa marafiki wa mazingira wa shirika la Tdeso we care,ambao tulikuwa tunawapa mafunzo ya uhifadhi wa mazingira. Ugumu nilioupata unatokana na dhana ya wengi kujua kila mti unaweza...
  9. S

    Barua ya wazi kwa Waziri Makamba

    Barua ya wazi kwa mh waziri makamba. Mh waziri makamba, kwanini Hamisi na si Juma ikiwa wote ni wezi? Mh waziri pamoja na kuonyesha ubaguzi usionatija kwetu katika kuwashughulikia wanaharamu hawa ,naomba upokee hongera yangu.Nakupa hongera kwakuwa usumbufu ambao hamisi amekuwa akitupa hapa...
Back
Top Bottom