Recent content by Samwel Nsato

  1. Samwel Nsato

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Shida haipo kwako tuu wajinga wengi kama wewe hawaupendi ukweli. Nikuulize wewe k kibuyu unauhakika Gani kuwa naongeza chumvi? Mara ya mwisho umepanda mwendokasi ni lini?
  2. Samwel Nsato

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nimelalamika kuhusu kivukoni kukosa Usafiri wa uhakika hapa? Kaka embu soma kwa utulivu nilichosena don't rush. Usikurupuke na kuibua mada Ili nitoke kwenye reli soma vizuri nilichoandika
  3. Samwel Nsato

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kaka kwanza naomba upitie michango ya nyuma, siku zote huwa naisifia serikali na kuipongeza to let you. Know Mimi ni mwana CCM tena og Ila penye changamoto na kasoro lazima nipaze sauti inapobidi. Mwendokasi ni mwiba brother ni kero. Yaani ni changamoto kwakweli juzi Mimi nilikua kwenye kituo...
  4. Samwel Nsato

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kwanza get your facts right. Mimi sio mgeni humu jamii forams tena sio mgeni wa huu Uzi waulize wenzio huu. Mimi na wewe nani mgeni? Nimekua humu since 2019 if not 2018 na wewe umeanza lini? 2021?. Na mara nyingi huwa nasoma na kupitia michango ya watu hata kama siandiki mara kwa mara haikupi...
  5. Samwel Nsato

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ni Nani kaka?
  6. Samwel Nsato

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hivi wewe fara, mmbwa usie na akili Sama boy 255 unaleta mdomo wako mchafu hapa. Watu tumestaarabika Ila sio wazembe!! Leta mdomo wako Leo tutapambana K weww
  7. Samwel Nsato

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kumbe it's deep rooted!! Haya sasa wewe Sama boy 255 umeona wenye akili sasa? Sio wewe kunguni sijui chawa.
  8. Samwel Nsato

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wewe kweli bwege na akili huna? Kwani tuyaongeaga humu huwa Kuna Viongozi mbona tukisifia ubwati. Fara wewe ku.a kibuyu
  9. Samwel Nsato

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ahaa. Nimekuelewa mkuu. Ila sasa primary objective ya BRT sio usafi wa kubadilisha mandhari ya jiji ni kurahisisha Usafiri na kupunguza muda from one point to another.Je BRT bado inaoperate hivyo?? Thus my take. Sio huyo mropokaji hasomi akaelewa anaanza kutoa maneno machafu na kinywa chake...
  10. Samwel Nsato

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    In the first place, usinitukane bcoz sijakutusi. Usitweze utu wangu tafadhali. Sasa ukweli ni upi? Yaani kuongea ukweli ni kufanya siasa? Hivi wewe unadhani kila mtu ni zero brain kama wewe. Nimeongea kitu ambacho nimeexperience unless otherwise niongope Ili iweje? Utajua wewe na ujinga wako...
  11. Samwel Nsato

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Naongea kwa uchungu sana!! Yaani Mimi ni Mtanzania wakawaida daladala, bolt na mwendokasi ndio maisha yangu. Yaani mwendokasi ni kero, kanga kubwaa huwezi sema eti ngoja niwahi sehemu nikapande mwendokasi Bora ubolt au upande daladala. Kwanza Waziri wetu wa Uchukuzi kapoa sana. Pale kivukoni...
  12. Samwel Nsato

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kweli kabisa kaka. Yaani Director na Waziri wa uchukuzi Bure kabisa. Yaani mradi mkubwa kama huu ambao ulikua unawapa mapato ya kutosha ni wakuuchezea hivi???! Afu mtu yupo hapa na ukunguni wake kutetea uozo!!?
  13. Samwel Nsato

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hivi ndugu zangu fikra Zenu na ufahamu wenu upo wapi? Au kwasababu nyinyi hamtumiagi Mwendokasi ndiomana MNAONA ninsawa kusifia ujinga na kumpotezea matatizo ambayo ni halisi?? Badala ya sisi kukemea na kupaza sauti tupo humu tunajifariji eti kuepuka kuchekwa na Wakenya!! Ajabu!! Mwendokasi...
  14. Samwel Nsato

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Yaani kwakweli tunapoelekea sisi sijui!! Ila hali ni mbaya sana kila kitu hovyo
  15. Samwel Nsato

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kwa Leo inabidi niongee ukweli tuu. Aisee hii inchi now tunaelekea pabaya sana yaani Bora ubolt au upande daladala kuliko kupanda mwendokasi. Kwasisi watu wa hali za kawaida tunapata shida na huu mradi yaani usimamizi mbovuu. Imagine hata chengi hawana kwenye vituo vyao!! Kweli? Mtu unakaa...
Back
Top Bottom