Recent content by Samwel Nnko

  1. S

    JamiiForums Tanzania RPC Dodoma adai hawakuzuia mkutano wa CHADEMA, walichozuia ni bendera

    Duhh!!! Mambo sasa shkamoo!! Kazi ya shisha hiyo!!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Meya wa Kinondoni amjibu Rais Magufuli, hakuwa na mwaliko wa kuhudhuria uzinduzi wa Polisi

    Wenzetu wazungu mimi naamini wanatuzidi na kitu kimoja tu kinachoitwa USTAARABU!! Ukishakosa ustaarabu basi huwezi ukakamilisha sifa za kuitwa binadamu!! Siasa zisizo za kistaarabu ndizo zinazotufikisha hapa na ndizo huwa zinafikisha mataifa mengi ya Afrika kwenye...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mrema awashukia wanasiasa wanaomkwaza Rais Magufuli

    Sina uhakika kama hili jukwaa ni la Magreat thinker kweli kwa sasa maana habari za watu kama mzee wa Kiraracha zisingekuwepo humu!! Kuna watu humu hawahitaji kujadiliwa.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Kuna mtu tumemkamata anataka kubadili 1.7Billion na kukimbia nchi

    Rais yeye na msemaji wa Ikulu yeye dahh!!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwa nia njema tu: Rais asiwe Mwenyekiti wa Chama cha Siasa

    Naona mtoa post katumwa na CCM asilia!! haha hah hah. Hii ndo raha ya kuwa ccm bana!! Huwezi ukawa na akili inayojitegemea.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Josephine Mshumbushi: CHADEMA ni mali ya Mtei, kimejengwa kwa misingi ya unafiki na nidhamu ya woga

    Nahisi huyu mama sasa hivi kawa Prof!!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka atoa ushauri kwa UKAWA!!

    Kati ya watu ambao unahitaji ufahamu mdogo kuwaelewa ni Sendeka!!! Ukitumia akili kubwa hutomuelewa kamwe.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya kitalii ya Wengert Windrose Safaris yamuumbua Waziri Maghembe

    Kama ni bahati basi Maghembe ana bahati ya kuzaliwa!! Ni watu wenye akili za kukopa tu labda ndo waliamini kuwa JPM angemjumuisha huyu mzee kwenye baraza lake la mawaziri. Hivi kati ya watzd zaidi ya 45M hayupo anayeweza kufanya hii position ya Maghembe??
  9. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli Aingizwa Mkenge

    Duhh!!rais wetu anatakiwa atulie sana kwa chochote anachokifanya maana ni kama vile wasaidizi wake nao hawamtakii mema!!
Back
Top Bottom