Atulie alee watoto wake. akitaka huyo mshamba aondoke mwenyewe. dunia ya leo nani kakuambia wanawake wanaondoka ndani ya nyumba acha mama alee watoto nenda katafute maisha mengine.
Wadau nimeileta hii kwenu mnisaidie namna ya kumsaidia dada yangu . kama mjuavyo wengi sisi wanaume asilimia kubwa siyo waaminifu kwa wake zetu. miezi 4 iliyopita nilipata simu kutoka kwa dada yangu ambaye anaishi jijini dar na kunieleza vile mume wake anatabia ya kutembea na wasichana wa...
waume zao hawajitumi je. fanyeni sehemu yenu mke ukimtengeneza vizuri hatoki nje hata siku moja sisi ndio washenzi hata upewe style gani utataka ungungulie tu jiko la jirani. care your wife hawezi kutoka nje ya ndoa.
Jamani muogopeni Mungu. Mkeo akirudi utamtizama kwa jicho lipi? What is 3 weeks by then. Kaa chini piga magoti muombe Mungu akusaidie kushinda hizo hisia za shetani. Mpigie mkeo simu kila wakati kujua hali yake. Acha kufikiria habari za ngono mambo yatakwenda vizuri. Ukimwi umejaa jiadhari kaka.
Jamani kaushauri kenu tu, wanandoa hao ninawafahamu lakini mu amekuwa mtu wa kukaa mbali na familia kwa nia ya kutafuta maisha. vitabu vya mungu vinasema nini juu ya hili? na je jamaa akicheat au mke wake nani wa kulaumiwa? utamuacha baba yako utaambatana na mume wako ndivyo vitabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.