Biblia ipo wazi kwenye hili, imekataza mwanaume kulala kingono na mwanaume mwenzie. Na mwanamke kulala kingono na mwanamke mwenzie.
“ ‘Usikutane kimwili na mwanaume vile mwanaume anavyokutana kimwili na mwanamke; hilo ni chukizo.”
Walawi 18:22 NEN
“ Je, hamjui kwamba wasio haki hawataurithi...
“Maana utii wenu umewafikilia watu wote; basi nafurahi kwa ajili yenu, lakini nataka ninyi kuwa wenye hekima katika mambo mema, na wajinga katika mambo mabaya. ”
Rum 16:19 SUV
Tunaweza kufikiri ni sifa kujua kila kitu, wakati mwingine tunapenda kujifunza kwa watenda mabaya mbele za Mungu...
Hiyo video inaweza ikawa imetengenezwa ila huu msitu utakuwa unatisha, kama ilivyo kawaida msitu wowote usio na mwingiliano wa shughuli za kibinadamu lazima utishe, utakuwa na wanyama wakaili na viumbe wengine wa kutisha.
“ Yeye aliye dhaifu wa imani, mkaribisheni, walakini msimhukumu mawazo yake. ”
Rum 14:1 SUV
Tunatofautiana viwango katika imani, wapo watu wana kiwango cha juu cha imani yao, wengine hawana kabisa, na wapo imani zao zipo chini sana ila wanazo.
Tunaweza tukawa kanisani wote, ila tukawa na...
Warumi 2
3 Wewe binadamu, uwahukumuye wale wafanyao hayo na kutenda yayo hayo mwenyewe, je! Wadhani ya kwamba utajiepusha na hukumu ya Mungu?
"Fanya nisemacho lakini usifanye nifanyalo Au fuata ninachokuambia usifuate ninavyoishi".
Huu ni msemo unaotumiwa na baadhi ya watu, ni msemo...
Matendo 28
3 Paulo alipokuwa amekusanya mzigo wa kuni, na kuuweka motoni, nyoka akatoka kwa ajili ya ule moto akamzongazonga mkononi.
4 Wenyeji walipomwona yule nyoka akilewalewa mkononi, wakaambiana, Hakosi mtu huyu ni mwuaji; ambaye ijapokuwa ameokoka katika bahari haki haimwachi kuishi...
Matendo 26:9 NEN
[9] “Mimi pia nilikuwa nimeshawishika kwamba imenipasa kufanya yote yale yaliyowezekana kupinga Jina la Yesu wa Nazareti.
Wapingaji wa uwepo wa Mungu ni wengi, wanaolikataa jina la Yesu ni wengi, wanaopinga Injili ya kweli ni wengi, wanaokataa kumwamini Yesu ni wengi.
Mtume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.