Recent content by Samson Boroyi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Jimbo la Geita waapa kuhujumu jina la mtia nia lisipite Kura za Maoni

    ben saanane uko wapi rafiki yangu tutafutane kamanda
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mengi atoa dakika 15 kwenye taarifa ya habari ITV kuelezea Kujiuzulu kwa Muhongo

    Tunako kwenda sipati picha .muda utasema tusubiri
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wana UKAWA tunamhitaji Prof. Lipumba lasivyo patachimbika

    sisi ukawa tunamhitaji lipumba kwa sasa sio slaa wala mbowe
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya chama cha ACT-Tanzania kukutana leo na kutoa maamuzi ya kizalendo

    mwaigamba na kitila wanatumika na mafisadi ndio maana wanafanya mambo ya kitoto .mimi ninajua kuwa walidandia gari
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sababu za Prof. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba kitimuliwa katika ACT-TANZANIA

    ndugu zangu kitila ,mwaigamba hawa ni waloo wa madaraka sasa hv wanataka kuwa viongozi yaani zito kuwa mwenyekiti kitila katibu na mwegamba kuwa mhasibu.mimi ni wapongeze chadema kuwaondoa hawa jamaa mapema nimatatizo/majanga na kingine kumbe hawa jamaa ni ccm. wametumwa na ccm kuuwa upinzani...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Maoni: Dr. Slaa ahutubie taifa mwisho wa mwaka

    AHUTUBIE KAMA ASKOFU au katibu wa chadema sijaelewa naomba kuelimiswa jamani wengine tupo magoto vijijini au tayari ni RAIS
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Hoteli ya Gold Crest, Mwanza: Kongamano la Katiba Mpya

    makamanda nipo geita leo natazama itv hawaonyeshi ni channel gani wanarusha wakuu
  8. S

    JamiiForums Tanzania ITV mnatia shaka na aibu kwa hili!

    kweli wewe ni tarime au msoma line
  9. S

    JamiiForums Tanzania ITV mnatia shaka na aibu kwa hili!

    mritaka tarifa ipi ya escrow .
  10. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Ulikuwa ujui.wasira ni msafi na msema kweli
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya escrow sasa CCM anayebaki msafi ni Mheshimiwa Wassira tu

    mmekuwa nini watanzania wezangu wasira ni jembe na pia ni msafi .kama sio ushafiki unamtaka nani au babu yako silaa
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa CCM atoa kali ya mwaka, UKAWA waanza kwa kasi Geita

    Hongereni sana wambea
  13. S

    JamiiForums Tanzania ACT-Tanzania kutoshiriki uchaguzi serikali za mitaa

    Nani kasema wasema wewe
  14. S

    JamiiForums Tanzania ACT-Tanzania kutoshiriki uchaguzi serikali za mitaa

    mumuogope mungu au ni dunia inaisha nani kakuambia ACT ni ccm au unaumwa
  15. S

    JamiiForums Tanzania ACT-Tanzania kutoshiriki uchaguzi serikali za mitaa

    kwa vile wewe ni mhongo' mumbea'mpenda mjungu .napenda kukwambia kuwa kila wilaya.kila mkoa.kila mtaa tuna wagombea na wamerudisha FORMU zao jana.tusubili uchaguzi 14/12/2014
Back
Top Bottom