Recent content by samsekwa

  1. S

    CRDB Visa Card: Utata wa matumizi yake mtandaoni

    Tahadhari uliyotupa ni ya muhimu wala wengine hatutoipuuza
  2. S

    CRDB Visa Card: Utata wa matumizi yake mtandaoni

    Mbona inatisha, japokuwa wengine wameita mambo ya kizamani.
  3. S

    Je Magazeti yanamtendea haki Mr Nice?

    Hii ni kama ameingilia uhuru binafsi wa huyu mwanamuziki.
  4. S

    Mwanamke anayetuhumiwa kuhusika na mauaji adaiwa kuuwawa akiwa mahabusu

    Eeeeeeeeeeh, kwa kweli kuna haja ya kubadilika sasa. Inaelekea bado mbinu za kizamani zinatumika katika kuhoji watuhumiwa. Maskini hata kuthibitishwa kuwa alihusika na kuua hakujafanyioka tayari ameshakufa ! This is too much.
  5. S

    Lawrence Masha na Miriam - Kashfa

    Mhhh, Naona na sisi tumezidi mno kuingilia maisha binafsi ya watu. Kwani mtu hawezi kuwa na vimada mpaka atumie fedha za serikali, ni nani kati yetu anaweza kuhaklikisha kuwa fedha za serikali ndizo zinazotumika kugharamia hao akina mama ? Kama Masha anatumia mshahara wake tatizo liko wapi ...
  6. S

    Wazito PPF wachota ‘vijisenti’

    Jamani nimechunguza hizi habari za ufisadi wa PPF nikagundua kuwa hao wajumbe wanaotajwa kulipwa mamilioni sio kweli. Kwanza bodi haijamaliza muda wake wala hakuna wajumbe walioondoka. Tuangalie waleta habari wasije wakasabisha mtandao wetu ukashatakiwa na hatimaye kufungiwa. Mhh, hakuna hata...
Back
Top Bottom