Je Magazeti yanamtendea haki Mr Nice?

MawazoMatatu

JF-Expert Member
Sep 6, 2008
505
61
Wakuu hii nimeikuta kwenye gazeti la watani wa jadi THE STANDARD je ni haki kwa mwandishi kumuattack huyu dogo kiasi hiki?

Starscope: Mr Nice, former Tanzanian


Published on 20/02/2009
Related Stories
Starscope - Colonel Mustapha
Starscope - TK – Idols judge
Starscope - Celeb prediction: Nyambane
Mr Nice in catfightBy T. Mochama (posing as Ali Kiba)

The past

Five years ago, one Mr Nice, bongo musician, took Tanzania, then East Africa, and finally the continent by storm. His songs not only ruled the airwaves; they were there like oxygen. This astrologer can still remember the song "Kila Mtu na Dame Wake," and dancing to the opening lines "woiii, woii, woii – oooo" at K2, Kenya Nights. Mr Nice’s music appealed to everyone between six and 90, and brought this talented Tanzanian performer and bongo genius both fame and fortune.

It is when he went down south to South Africa that his fortunes began to go down south too. Provided a mansion by a recording house and still lush with cash from his myriad of performances, Mr Nice forgot to make music and instead got into making out with all the nice girls those sides, and clubbing every night. Soon he had turned his house to a harem … and was helping out every hoe-in-the-club with their many ‘mashidas’. After all, he was a millionaire, millionaire not he?

The present

Hapa na pale umaliza kibaba, and slow but sure, Mac Muga (Mr Nice’s) mega rand dwindled from a flood of cash to a trickle of ‘ma-penny’ as his many women slowly disappeared. The Label Company took back the mansion from Mac Muga, and he downgraded to a maisonette in S.A. as he sold off his cars one by one, in an attempt to keep up appearances and the lavish nice lifestyle.

Soon, with both cash and cars gone, Mr Nice was reduced to living in a one room SQ in SA – until his visa/working permit ran out, and they ran Mac Muga out of the country… the way Wild West Sherrifs run villains out of town in Western movies.

The Future

Mr Nice, tail between his legs like a defeated dawg, is now back in his native nation of TZ — but at least like a hopeful wolf, he’s been back in the studio to release a new song, now that the money is all gone after the high life down South. If Mac Muga makes a comeback, even of a small nature, he will be much more careful next time round – although comebacks in this industry are rare .. just ask Vanilla Ice and MC Hammer, Mac Muga’s heroes. If he fails, he’ll consider robbery, thiefery, suicide or depression. The stars say he’ll go for … (drum-roll pliz … option c attempted suicide. How? By pandaing a baiskeli to which he has attached a lot of ‘kukus,’ and pedalling over a cliff…
 
Kwani si kila mtu na lifestyle yake mbona hamuandiki maisha halisi ya Mtanzania ambayo ni magumu kuliko ya mr.nice?
 
Kwani si kila mtu na lifestyle yake mbona hamuandiki maisha halisi ya Mtanzania ambayo ni magumu kuliko ya mr.nice?

Tupo pamoja mkuu, huyu mwandishi kawa very personal. inawezekana Nice kayumba kidogo nivizuri kumshauri sio kumnanga magazetini. Marehemu Luck Dube aliimba ''......'re you feeling very happy, to see another man suffering....'' . Kama anaushauri angefanya hivyo tena kwa kumfuata na kuongea nae sio kihivyo. Binafsi sijaipenda.
 
tatizo mr nice alishaambiwa mapema, mtoto wa kichaga kajisahau ,akalewa misifa[
 
Mimi naona Mwandishi amekuwa honest kumdescribe huyu jamaa hii siyo attack na isitoshe huyo jamaa ni kioo cha jamii kwa hiyo mtake msitake lazima mambo anayoyafanya jamii itataka kujua. Hiyo ndiyo hasara ya Ucelebrity. Ukiwa maarufu tu lazima uandamwe na vyombo vya habari vya aina zote mpaka za udaku.
 
kwa maoni yangu, Mr Nice bado yupo juu sana tu hapa Afrika mashariki na kati. Kuna wakati nilitembelea Msumbiji katika jimbo moja la kaskazini laitwa Nampula. kule Mr. Nice anathaminiwa kama mfalme. kama kweli anataka kupanda kimiziki na aanze ziara zake sehemu hizo.Kule hawajui sana Kiswahili lakini wanakumbuka midundo ya nyimbo zake na jinsi jamaa alivyokuwa anajituma jukwaani. Kwangu mimi Mr. Nice bado yupo juu. Nilipata kwenda Lusaka pia, hadithi ni ile ile... 'How is Mr. Nice?, they always ask'.

So, kama jamaa bado yupo Bongo na anataka kurudi kwenye game.. basi arudie yale maziara yake katika sehemu hizo mbili, atafute sponsor, akatengeneze hela kule. Wanamhusudu kufa!


Weldone Mr. Nice... your Lyrics are here to stay!!! Kila mtu na demu wake bwana...kwani vipi!!!?

Mie wala simshangai Mr. Nice kutumia fedha zake vibaya... ukiwa na fedha unakuwa kichaa.... Waulize watu wote waliopata fedha nyingi kama zake kwa wakati mchache...lazima uwe kichaa... ni kichaa cha fedha... Mike Tyson, Lionel Richie, Brenda Fassy, Diode Maradona, Amatus Liyumba wote walikuwa hivyo...The guy is still young.. am sure hi can rise again.....
 
Back
Top Bottom